mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Diamond Platnumz amekua noinated kwenye tuzo kubwa kabisa nchini Nigeria zinazojulikana kama The Headies Awards . Diamond yupo kwenye category ya Best African Artist ambayo inajumuisha wasanii kutoka nje ya Nigeria waliofanya
vizuri nchini humo. Chakushangaza katika kutaja nominees hawa wakamuandika Diamond kama Diamondz na baada ya utafiti tuliofanya kwenye mtandao , kuna waNigeria wengi wanafikiri Diamond Platnumz anaitwa Diamondz. Hivi bdivyo walivyoandika :-
21. BEST AFRICAN ARTISTE
A non-Nigerian award category for an individual African artiste with the most outstanding single/album and astonishing achievements and infiltration into Nigeria in year under review.
1. MAFIKIZOLO
2. SARKODIE
3. DIAMONDZ
4. R2BEES
Tuzo hizi zinatarajia kufanyika tarehe 25 mwezi huu na ina maudhui yasemayo Feel the Passion