Wa-Nigeria wameharibu sana ladha ya comedy clips kwa kuingiza makelele yao ya vionjo background

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Comedy clips huku background kuna vionjo li mtu linasema "i don't want peace, I want problems", au wimbo unaimba "nyash na nyash" au nyingine mtu anacheka mfufulizo kama mwehu huwa zimekaa kidwanzi sana.

Huu ubunifu ulioletwa na wa-Nigeria kwenye comedy clips ni wa hovyo sana.
 
Wewe una tofauti na CCM ukiambiwa no reform no election
 
Comedy clips huku background kuna vionjo li mtu linasema "i don't want peace, I want problems", au wimbo unaimba "nyash na nyash" au nyingine mtu anacheka mfufulizo kama mwehu huwa zimekaa kidwanzi sana.

Huu ubunifu ulioletwa na wa-Nigeria kwenye comedy clips ni wa hovyo sana.
Kila kitu ni cha muda tu, vinapita hivyo tulia
 
mbona kuna wengine wameingiza pia, kasongo yenyewe, mbona weoo, utakufa vibaya wewe nakuhurumia, kumekucha kumekucha, hayo vipi hayaleti kero?
 
Ni kero sana pia, ila walioanzisha huu upuuzi ni Nigeria wengine wakaiga.
 
Tunatofautiana asee.
Me kwangu naona huwa zinachekesha sana.
 
Vichekesho kukuchekesha inategemeana na kiwango cha stress ulizonazo , vichekesho vinavyomchekesha Elon kwangu mimi naweza kuona ni upuuzi tu.
 
Vinachekesha tu, inategemeana na wewe, mimi nawaelewa zaidi akina kingwendu kuliko hao watu baki
 
Comedy clips huku background kuna vionjo li mtu linasema "i don't want peace, I want problems", au wimbo unaimba "nyash na nyash" au nyingine mtu anacheka mfufulizo kama mwehu huwa zimekaa kidwanzi sana.

Huu ubunifu ulioletwa na wa-Nigeria kwenye comedy clips ni wa hovyo sana.
Nenda kamcheki sabinus
 
Back
Top Bottom