Kila kitu ni cha muda tu, vinapita hivyo tuliaComedy clips huku background kuna vionjo li mtu linasema "i don't want peace, I want problems", au wimbo unaimba "nyash na nyash" au nyingine mtu anacheka mfufulizo kama mwehu huwa zimekaa kidwanzi sana.
Huu ubunifu ulioletwa na wa-Nigeria kwenye comedy clips ni wa hovyo sana.
Haya kwahiyo unatoa Tamko gani?Tumeangalia video za Charlie Chaplin na tumecheka sana kuliko hao waNigeria wapiga kelele.
Nenda kamcheki sabinusComedy clips huku background kuna vionjo li mtu linasema "i don't want peace, I want problems", au wimbo unaimba "nyash na nyash" au nyingine mtu anacheka mfufulizo kama mwehu huwa zimekaa kidwanzi sana.
Huu ubunifu ulioletwa na wa-Nigeria kwenye comedy clips ni wa hovyo sana.
NakaziaNo reforms no comedy clips.