BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Nimefuatilia sana hawa wa Oromo wa Ethiopia nimekuja kujiridhisha pasipo shaka kwamba ndio hao hao wa Mbulu ambao wao wali hama wakajikuta wamefika Tanzania.
mwo Oromo akiwa amejichora, kumbuka waambulu pia walikuwa wanajichora hivyo ingawa kwa sasa ni kama wamecha vile.
Wa Oromo ni kabila kubwa kabisa Ethiopia na wana hadi Jeshi lao wenyewe na wana hadi Bendera yao pia na wako kwenye ugombia na Serikali ya Ethiopia kwa kitambo sana.
Wanawake wa Ki oromo.
Na uzuri wa wanawake wa Kiothiopia ndio hao wa kabila la Oromo ambao ni kabila kubwa kabisa Ethiopia.
Watoto wa Kiromo.
Sasa ukiasikia matamshi ya wa Oromo ni copyright na maneno ya kimbulu yaani wanaendana sana mambo mengi.
Mu Mbulu akiwa amechorwa usoni, nimekosa picha za wambulu we ale wenye alama usoni.
Kosa kubwa kwa Wambulu ni kwamba wamechanganya mno mno mno mno Damu kiasi kwamba ile asili yao ndio inaishilia hivyo kwa sababu ya kuchanganya sana damu tofauti na wa Oromo ambao hawachanganhi kabisa Damu.
Ukiingia youtube ukisikia wa Oromo wanavyo ongea ni wanai ngiliana sana na Wambulu.
Tofauti na Wa Mbulu, wa Oromo wao wana dumisha utamaduni wao kwa kiasi kikubwa sana tofauti na Wambulu ambao kwa sababau ya kuchanganya sana Damu wameaisha potezea asili yao.