Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na hawana wivu. Unaweza pita na ukoo mzima, hawajali wala nini.Uzuri waambulu hawakatai kuvua chupi. Utafiti wangu uliishia hapo.
Saita,idoma laway
OkayWambughu
Msaidie kuwekaHongera sana.
Unasema "umefuatilia sana" na kisha "ukagundua", ulichokifuatilia kiko wapi mbona hujaweka evidence yoyote yenye kudhibitisha uhalali wa utafiti wako?
Umeambatanisha picha za watu unao claim ni kabila la oromo, mbona hujaweka picha ya Wambulu, au hujaenda field kwa Wambulu? Na kama hujaenda field umewezaje kufanya comparison?
Hujaweka evidence ya maneno mfano neno kwa Wambulu linatamkwa na kuandikwa hivi na Waoromo wanatamka na kuandikwa hivi...
Hakuna ushahidi wa ki genetic....
Hakuna ushahidi wa mfanano wa utamaduni kati ya makabila hayo mfano ngoma, mavazi, urembo, vyakula, ujenzi wa nyumba, malezi.....
Hujaweka ushahidi wa historical movements mfano kama walitokea West Africa waka settle Ethiopia then wengine wakamove kuelekea South mpaka Mbulu...
Utafiti unahusisha kusoma research za watu wengine kudhibitisha theory yako ndipo unafanya conclusion, wewe hujaonesha kama umesoma popote, ni kama vile umeota huu "ugunduzi" wako.
Najiuliza, hiki ndicho "umefuatilia" na kisha "ukagundua"???
Ulicho "dhibitisha pasipo shaka " kipo wapi, au ukiandika kama ulivyoandika ndivyo napaswa niamini?
Sikiliza. Kuna kundi moja la WaEthiopia (Cushites) ambao walikuja Tanzania kupitia Kenya, baadhi walibaki Kilimanjaro na kuzaliana na wazawa (Wachagga), wengine ndio hao Wambulu, Wairaqw , wengine wakaendelkea hadi Kondoa, ndio hao Warangi, na waMbugwe.., wote ni CUSHITEs toka Ethiopia, wana mila zinazofanana na lugha zinazoshabihiana, hata muonekano ni similar..Nimefuatilia sana hawa wa Oromo wa Ethiopia nimekuja kujiridhisha pasipo shaka kwamba ndio hao hao wa Mbulu ambao wao wali hama wakajikuta wamefika Tanzania.
View attachment 3212989
mwo Oromo akiwa amejichora, kumbuka waambulu pia walikuwa wanajichora hivyo ingawa kwa sasa ni kama wamecha vile.
Wa Oromo ni kabila kubwa kabisa Ethiopia na wana hadi Jeshi lao wenyewe na wana hadi Bendera yao pia na wako kwenye ugombia na Serikali ya Ethiopia kwa kitambo sana.
View attachment 3212991
Wanawake wa Ki oromo.
Na uzuri wa wanawake wa Kiothiopia ndio hao wa kabila la Oromo ambao ni kabila kubwa kabisa Ethiopia.
View attachment 3212993
Watoto wa Kiromo.
Sasa ukiasikia matamshi ya wa Oromo ni copyright na maneno ya kimbulu yaani wanaendana sana mambo mengi.
Mu Mbulu akiwa amechorwa usoni, nimekosa picha za wambulu we ale wenye alama usoni.
Kosa kubwa kwa Wambulu ni kwamba wamechanganya mno mno mno mno Damu kiasi kwamba ile asili yao ndio inaishilia hivyo kwa sababu ya kuchanganya sana damu tofauti na wa Oromo ambao hawachanganhi kabisa Damu.
Ukiingia youtube ukisikia wa Oromo wanavyo ongea ni wanai ngiliana sana na Wambulu.
Tofauti na Wa Mbulu, wa Oromo wao wana dumisha utamaduni wao kwa kiasi kikubwa sana tofauti na Wambulu ambao kwa sababau ya kuchanganya sana Damu wameaisha potezea asili yao.
Sasa hiyo itakuwa ni research yangu au yake?Msaidie kuweka