Wa Oromo wa Ethiopia nimekuja kugundua ndio hao hao Wambulu wa Tanzania

Na wao binti zao wakarimu pia katika kugawa uroda?
 
Msaidie kuweka
 
Sikiliza. Kuna kundi moja la WaEthiopia (Cushites) ambao walikuja Tanzania kupitia Kenya, baadhi walibaki Kilimanjaro na kuzaliana na wazawa (Wachagga), wengine ndio hao Wambulu, Wairaqw , wengine wakaendelkea hadi Kondoa, ndio hao Warangi, na waMbugwe.., wote ni CUSHITEs toka Ethiopia, wana mila zinazofanana na lugha zinazoshabihiana, hata muonekano ni similar..
 
Wairaqw au wambulu ni hao hao waethiopia, walihama toka Ethiopia miaka ya 1600 na 1700 sbb ya njaa na vita na kukimbilia Turkana Kenya na wengine walifuata Bonde la Ufa toka Turkana Kenya hadi Mto wa Mbu, to Karatu, Mbulu, Babati, Katesh, Hanang, na Kondoa Irangi etc

Wambulu ni Waethiopia kwa 100%, sema baadhi ya wambulu wamechanganya damu na wabantu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…