Wa-Sri Lanka Ndani Ya Makazi Ya Rais

Wa-Sri Lanka Ndani Ya Makazi Ya Rais

The Bleiz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2012
Posts
5,070
Reaction score
13,511
Waandamanaji wanaenjoy ndani ya Presidential house.

IMG_20220710_143837.jpg
 
Tukiingia magogoni halafu TISS watuzidi nguvu nasepa zangu chini kwa chini nakuibukia zangu kibaha ama mlandizi nikiwaacha wengine wakila shaba za kutosha. Babu yangu TISS mstaafu aliisahau ramani ya underground magogoni sebuleni nikapiga picha faster na simu bila yeye kufaham.
 
Back
Top Bottom