Wa TZ slow: Chadema sasa ndiyo watu wanaelewa baada ya miaka!!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Haya mambo yameanza toka 2017 Chadema wamesema yote ambayo yanatokea sasa. Walisema wataanza na Chadema , watakuja makanisa, sasa ni CCM kwa CCM. Kinachofuata kama sio ndugu wa kiongozi huna chako!

Kama nchi msiko amka wanakuja kwa kila mmoja wetu
 
kwa kweli!
 
Kuna machawa humu yenyewe yanafikiri yako salama,ni suala la muda tu nao watafikiwa
 
Back
Top Bottom