Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Watu wanakufahamu mpaka kucha hata kifaa chako cha kwanza wanakifahamu.
????????....confusion?
..............................LOL...........................................................Acha hizo Komredi...hebu ntajie hicho kifaa....
I swear hakuna mtu anayenijua humu ndani...
Akijitokeza mtu anayenijua nitampa dola 100....
..............................LOL...........................................................
Dont swear bro, seems like people know you in here.. Just give an offer na niko shua jamaa atajitokeza na details zote.
Acha hizo Komredi...hebu ntajie hicho kifaa....
I swear hakuna mtu anayenijua humu ndani...
Akijitokeza mtu anayenijua nitampa dola 100....
Hehehehe Komredi ulifikiri hujulikani oooh watu hapa wanafatilia sana ishu ambazo haziwahusu
Dau linazidi kuongezeka sasa ni dola 300...Yo Yo hizo zinaweza kununua zile ndaba za Swizz Beats alizovaa kwenye BET awards...au huzitaki tena?
pandisha dau kijana.....si unajua nita risk(permanent ban)Dau linazidi kuongezeka sasa ni dola 300...Yo Yo hizo zinaweza kununua zile ndaba za Swizz Beats alizovaa kwenye BET awards...au huzitaki tena?
Jamani wale waliosoma Kibasila sec, mpo yule muuza miogo alikuwa anaitwa nani nakumbuka kuwa alikuwa ni mpemba. Mwalimu Garama wa chemistry Hoo! it long time man