da swazi mwana kuna raha yake,nikikumbuka kuanza maisha uswazi ilikua kwa bi hania migomigo usokee mamake salama mfamao,kipindi tunaenda goran peak kumuona digadiga na kelly john na blood moses wanacheza shoo,halafu ngoma ikahamia tzr vetenary,kuna mahali wao wanaita njaro huko mikosi babu viburudisho vyote duniani unapata pale kama brazil,kino ndo wacha,mango,masai,katumba,kwa manyanya,kwamama kitunguu,tazara club,neema bar,kiria,bamboo,chez ntemba,meridian yaani we acha tu mwisho hata nilewe vipi lazima niende mwananyamala kwa mama kishori nchukue vitumbua ndo nkalale,bongo tambarareeeeeeee