Waache walime hata wakilima ndani ya Maji: Awamu ya 5 na 6 - Lugha Inapogongana

Hao wote ni mazuzu na mavuvuzela tu

Mkuu mdogo mdogo. Nani alidhani Elitwege kuongea lugha ya watu?

IMG_20211121_105824_081.jpg
 
Kwa kweli kulima kwenye kingo za mto au karibu na vyanzo vya maji ni hatari sana kimazingira. Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004 inataka watu kuacha kufanya shughuli zo zote za kibidanamu kwa umbali wa mita 60 kutoka kingo za mto au vyanzo vya maji ili kuweza kupata mtiririko wa maji mengi na masafi kwenye mito.
 
Tatizo kubwa ni katiba mtu mmoja kuwa sheria na sheria kuwa yeye.

Matokeo yake kama nchi tuko kama tumechanganyikiwa.
 
Kwa kweli kulima kwenye kingo za mto au karibu na vyanzo vya maji ni hatari sana kimazingira. Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004 inataka watu kuacha kufanya shughuli zo zote za kibidanamu kwa umbali wa mita 60 kutoka kingo za mto au vyanzo vya maji ili kuweza kupata mtiririko wa maji mengi na masafi kwenye mito.
Kumbuka wanatumia na Pesticides ambazo Mvua ikija zinarudi Mitoni na kuua mazalio ya Samaki.

Maji ya kunywa yenyewe yako hatarini kujazwa sumu.
 
Shida ilianzia hapo kwenye awamu ya 5.

Kumbuka pia na issue ya machinga.
Magufuli amafanya kazi ya Mama Samia iwe ngumu kwasababu ya kutoa ahadi zake za kuropoka bila kujua madhara ya baadae. Now mama has to clean his messy
 
Legacy za mwendazake:

1. Kuropoka ropoka, kufoka foka
2. Kuminya wapinzani
3. Utawala usiozingatia sheria wala katiba
4. Kubambikia watu kesi
5. Kuzima madai ya katiba mpya
6. Nk

Laiti mama angeyatambua hayo na kujitenga nayo angekuwa rais wa kupigiwa mfano.

Tatizo ni lile sikio letu pendwa .....
 
Kila awamu inakuja na mambo ya kumshusha aliyepita...

Inasikitisha sana...
 
Na huyu mnaemtetea kila siku humu, wakati miti inakatwa hakuwa kwenye sekta ya mazingira?
 
Back
Top Bottom