Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,330
- 7,494
Na nimambo ya hovyo hovyo tu ndio MaCCM yanaweza, yale mambo muhimu kama katiba mpya yanashindwa yote, kwa kua MaCCM yote akili zao hazina akili.Kila awamu inakuja na mambo ya kumshusha aliyepita...
Inasikitisha sana...