mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Viongozi wetu sijui akili zao zikoje. Maji hamna, miundo mbinu usiseme, wako busy na wauza mbususu. Wanadhani watakomesha hii biashara kwa mbinu zao za kijima.Barabara za mitaani mbovu,hakuna taa Mitanni ucku usipopanda bodaboda usalama wako mdogo,kuna maeneo Maji mara 1 kwa Wiki ukikosa ununue kwa mangi ndoo 500/1000
Huyu kiongozi ni Mpuuzi sana na hajitambui! Ukiondoa ukahaba ndio umaskini utaisha Tanzania? Pumbavu zake!Baada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
Kiongozi anayepoteza muda kushugulika na ushoga, ukahaba na mambo yanayohusiana na hayo ni hafai kuwa kiongozi.Baada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
Hili ni suala la ''nitokeje''. Yaani uongozi wa nchi ume-collapse kiasi kuwa wateule wa rais hawana kazi ya kufanya hivyo wanajaribu kufanya usanii wa '''nitokeje mama anione'' kama kina Makonda na Jerry.Baada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
Huyo DC hajielewiii matatizo ya jamii wilaya Ubungo ni mengi sana anajificha kwenye dada poa .....KPI yake 90% ni dada poa ? Ardhi afya elimu ...etc haoni ? Nadhani huyu hatufaiii UbungoBaada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo mkuu wa wilaya mjinga wamtoe, itakuwa hao madada poa wamemuibia yupo kulipiza kisasi.!!
Wameshikwa pabayaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]naona mnaonunua dadapoa mmecharuka kwa hasira [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiiiiKiongozi anayepoteza muda kushugulika na ushoga, ukahaba na mambo yanayohusiana na hayo ni mpuuzi na hafai kuwa kiongozi.
Nimesema hata nilale wima!
Asiye na hatia awe wakwanza kurusha jiwe!Baada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
Baada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
Ndiyo hivyo baby, mtu anashindwa kushughulikia huduma za jamii anashughulishwa na jinsi tunavyotiana, kama anaona vipi bas poa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiiii
Naunga mkono hojaHili ni suala la ''nitokeje''. Yaani uongozi wa nchi ume-collapse kiasi kuwa wateule wa rais hawana kazi ya kufanya hivyo wanajaribu kufanya usanii wa '''nitokeje mama anione'' kama kina Makonda na Jerry.