Waacheni dada poa msiwasumbue wilaya yenu ina matatizo mengi ya kupambana nayo kuliko kusumbuka na hamu za watu

Waacheni dada poa msiwasumbue wilaya yenu ina matatizo mengi ya kupambana nayo kuliko kusumbuka na hamu za watu

Barabara za mitaani mbovu,hakuna taa Mitanni ucku usipopanda bodaboda usalama wako mdogo,kuna maeneo Maji mara 1 kwa Wiki ukikosa ununue kwa mangi ndoo 500/1000
Viongozi wetu sijui akili zao zikoje. Maji hamna, miundo mbinu usiseme, wako busy na wauza mbususu. Wanadhani watakomesha hii biashara kwa mbinu zao za kijima.
 
Baada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
Kiongozi anayepoteza muda kushugulika na ushoga, ukahaba na mambo yanayohusiana na hayo ni hafai kuwa kiongozi.

Nimesema hata nilale wima!
 
Wilaya ya Ubungo, barabara mbovu mashimo matupu, maji ni kero ya muda mtefu iliyoshindikana kutatuliwa halafu DC anakimbizana na machangudoa usiku kucha
 
Baada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
Hili ni suala la ''nitokeje''. Yaani uongozi wa nchi ume-collapse kiasi kuwa wateule wa rais hawana kazi ya kufanya hivyo wanajaribu kufanya usanii wa '''nitokeje mama anione'' kama kina Makonda na Jerry.
 
Baada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
Huyo DC hajielewiii matatizo ya jamii wilaya Ubungo ni mengi sana anajificha kwenye dada poa .....KPI yake 90% ni dada poa ? Ardhi afya elimu ...etc haoni ? Nadhani huyu hatufaiii Ubungo
 
Ukitaka kujua unafiki wa wabongo ndo hapa, kwa dada poa eti wana uhuru wa kutumia miili yao kwa njia watakayo, na faragha yao iheshimiwe na kulindwa.

Njoo kwa mashoga sasa hukuti wakisema hayoo, wee DC shikilia hapo hapo had wasandeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
Asiye na hatia awe wakwanza kurusha jiwe!
 
Kwahivo mtt wako wa kike akijiuza wewe utakuwa ok? Kama mzazi hutasimama kumwambia akifanyacho sio? Ukiwaza Kwa ngazi hiyo kitakuuma.
 
Back
Top Bottom