Aise mimi naishi Marekani lakini nina ndugu wengi wanaoishi Tanzania. Na karibu ndugu zangu wote ni waumini wa hizo dini tulizo letewa na waarabu na wazungu ili kutupumbaza. Sasa cha kushagaza hawa ndugu zangu kwa mwezi huu wamekuwa wakinipigia simu kuniuliza kama mimi naishi karibu na huko Los Angeles.
Hawa ndugu huwa saa ingine nawatumia hela kuwasaidia nyakati mbalimbali na kila nikiwatumia hela hata hawakumbuki kuweka vocha ya tsh 1000 kunipigia simu kunijulisha kuwa wamepata hela na kushukuru. Mpaka niwapigie na kuwauliza kama wamepata hela, ndio wanasema asnte.
Sasa leo kwasababu wameenda kuabudu mizimum ya wazungu na waarabu. Wahuburi wao wakawambia kuwa Marekani inateketea kwa sababu ya kuasi Mungu . Basi ndio wanaona raha kuweka vocha kwenye simu zao kunipigia ili wahakikishe kuwa na mimi ninatateketea na wamarekanni.
Sasa leo nataka ni wahakishie kuwa marekani haiteketei kwa sababu ya kufanya zambi.
Marekani imepatwa na janga baya la moto kama nchi nyingine zote zinavyo patwa na majanga bila kujari kama Zina wafanya zambi wengi au la.
Huo ujinga manao ambiwa huko kwenye nyumba za kuabudu uchukulie tu kama ujinga.
Yes Marekani huko Los Angeles nyumba zaidi ya elfu kumi na mbili zimeteketea na watu zaidi ya 20 hawajulikani kama wamekufa kwenye moto huo au la.
Cha kujiuliza kama mto huo umetumwa na Mungu kuangamiza Los Angeles kwasababu ya zambi zao basi huyo Mungu kazidiwa akili na wenye zambi. Maana kama nyumba elfu kumi na mbili zikiunguwa kwenye nchi hizo ambazo Zina mwabudu Mungu, maelfu ya watu wange ungulia ndani.
Lakini huko kwa wenye zambi ni watu chini ya 50 wamepoteza maisha. Wakati huko wanako Sali sana kila siku maelfu wanakufa kwa kukosa dawa,ajari za kizembe, kutokana na uzembe wa madakitari na waunguzi.
Pia Nyie wajinga mnao furahia janga hilo , na wahakikisha wote walio poteza nyumba zao na kila kitu kwenye moto ..
Baada ya mwaka mmoja wote watakuwa na hali nzuri kuliko nyie mnao shinda makanisani na miskitini mkifurahia marekani kuteketea kwa moto.
Kama mlikuwa mnafikiri sisi huku tutateketea mtasubili sana . Hakuna wa kuunguwa hapa. Majumba na pesa vimeubwa na mwanadamu. Hivyo mradi bado watu wako hai watajenga majumba mengine bora zaidi na watatafuta pesa nyingine nyingi Zaidi.
Wezetu wamejengewa ujasiri wa kuona matatizo kama furusa kwenye kuyatatuwa. Nyinyi mmeambiwa matatizo yanatatuliwa na Mungu. Endeleeni kusali labda Mungu atawqletea hizo nyumba zilizo unguwa