Bahati mbaya wanaopelekwa huko ni wale wenye thinking za 60s, bado hawaoni umuhimu wa diaspora. We need changesBalozi zetu huko ughaibunu zifumuliwe na wapelekwe watu wenye uelewa wa kulinda maslahi ya nchi.
Nimempigia simu amekataa kuwa na asili ya Namtumbo.Amesema kiuhalisia anaitwa Nylon.Makosa ya kiuandishi yakazaa Nyoni.Nyoni atakuwa watani zangu wa Songea Wangoni
Kibaya wanasubiria mtu ameshafanikiwa na kuripotiwa na vyombo vya habari vya nchi nyingine ndipo na hao wanaanza kujipendekeza. Unajiuliza hao mabalozi wanafanya nini au wanasubiri mtu afe ndipo watoe ripoti?Bahati mbaya wanaopelekwa huko ni wale wenye thinking za 60s, bado hawaoni umuhimu wa diaspora. We need changes
Hiyo tamaduni, sijui tabia whatever inatakiwa iishe aisee. Hatuwez endelea kwa kudandia vitu.Kibaya wanasubiria mtu ameshafanikiwa na kuripotiwa na vyombo vya habari vya nchi nyingine ndipo na hao wanaanza kujipendekeza. Unajiuliza hao mabalozi wanafanya nini au wanasubiri mtu afe ndipo watoe ripoti?