kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,815
- 6,517
Daah.
Bonge la bandiko, nikiangalia chanzo cha Ferrari, VW na maendeleo mengine ya viwanda kwenye nchi za Italy na Germany hua nasema walikua na reason ya kutawala ivo kwa manufaa ya vizazi vyao.
Nawaza tu kiongozi anasema sikupi ww keki sababu tu ni wa chama cha upande wa pili (uzinduzi wa mradi wa kinyerezi II, 2016)
Inashangaza nusu karne bado AU inafadhiliwa na EU, US na China. Bajeti za serikali na tafiti za kisayansi bado ni misaada.
Ni afrika ambapo mtu akipaisha ndege anakamatwa na kufungwa,
Ni afrika sehemu kubwa yafaa kwa kilimo lakini watu wanakufa njaa twasubiri BritishAid au msaada kutoka watu wa marekani
Malaysia walikuja Tanzania kujifunza namna ya kulima palm oil ila 2016 tumeenda malaysia kujifunza namna ya kukuza zao la palm oil daaah
Afrika twategemea hisani na busara ya mkubwa mfano bwana yule,
Afrika ooh Afrika nani kakuroga[emoji22] [emoji22]