City Of Lies
Platinum Member
- Sep 8, 2011
- 6,073
- 7,997
Hatua ya Marekani imejiri kufuatia tuhuma za ubaguzi dhidi wa Afrikaner uliohusishwa na utawala wa rais Ramaphosa kupitisha marekebisho kwenye sheria za umiliki wa ardhi na kuipa serikali mamlaka ya kutwaa ardhi kutoka watu binafsi waliodhaniwa kufanya unyakuzi.
Rfi
Rfi