waafrika hataree hatushindwi kitu

ustadhijuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
3,021
Reaction score
1,978
Muamerika, Mjapani na Mwafrika
walikuwa wanaoga sehemu moja
ya bafu la wazi.
Mara mlio wa kifaa ukasikia,
mmarekani akanyanyua mkono
... akasema ni mimi nina Microchip
pager in my arm
Ghafla tena simu ikaita , Mjapani
akanyanyua mkono akesema ni
simu yangu inaita, nina
microprocessor in kwenye kwapa
langu.
Mwafrika akaona amefunikwa
sana, akaamua kutoka akaenda
chooni, alivyorudi toilet paper
ilikuwa inaninginia sehemu za
makalio, mjapani na mmarekani
wakamuuliza, ni nini hiyo?
Mwafrika akajibu, napokea
Fax...
.................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…