Nitajie nchi moja tu ya Kusini mwa Jangwa la Sahara yenye maendeleo. Hakuna !! South Africa ni kwa mgongo wa makaburu tatizo ni kwamba Mandela aliwaachia mikataba ile ile ya kikoloni ndiocmaana Waafrika wana hali ngumu sana huko, Nigeria imegeuka kuwa nchi ya kuuana kikabila chungu nzima.
Mfano mdogo Botswana wamekua nchi inayokua kwa kasi huku sehemu kubwa ya uchumi ikitegemea almasi tu, waliingia mkataba na wazungu waichimbe kisha kugawana mapato pasu kwa pasu.
Tumeshajaribu sana kufanya mapinduzi, lubadili vyama, kubadili marais, n.k lakini tumejionea hatuna uwezo wa kujisimamia wala kuleta maendeleo.
Tuna asili zetu zimepigwa tatoo kwenye akili kwenye mambo kama ubinafsi wa kujipendelea bila kujali wengine, tamaa, kuchukia ukosoaji, unafki, ulalamishi, kuridhika, n.k.
IMESHINDIKANA!
Kama kweli tunayataka maendeleo waje kutuletea ambao walishaweza toka kitambo.