sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Asante kwa mchango wako, vipi sasa maisha yale baada ya kupita hapo airportWanaijeria na watanzania ndio wauza madawa wakubwa south....
Wasiliana na Isanga family atakusaidia kama kweli issue ni kwenda kusoma, ila kama ni zile mishe za kimbanga basi akamtafute Bogo bin, ila ndo ivo yani, hamna nomaAsante kwa mchango wako, vp sasa maisha yale baada ya kupita hapo airport
Mkuu niaje, nataka kwenda kutafuta kazi uko,hali ikoje katika upatikanaji wa professional jobs? Mimi ni Engineer kwenye mambo ya IT .Oliver Tambo mimi miaka yote napita sijawahi ulizwa hata kitu chochote labda wale jamaa wa agriculture mpaka nikajiuliza wanawakamataje hao wa madawa tofauti na Hong Kong mwafrika wanakua na mashaka makubwa sana na hasa ukipanda ET siku moja nilipata majibu baada ya Mimi kushuka nikiwa nimetokea Lusaka na muda huo huo iliingia ndege kutoka Brazil daah kulikua na mbwa wa kutosha ila bado wakasema mliotoka Lusaka chukueni beg zenu muondoke kazi ilibaki kwa hao wazee wa kazi..
Kazi SA zitakuepo mpaka kesho kwa Wataalamu tatizo inatakiwa uwepo SA mwenyewe uombe kazi ukipata unafatilia working permit hiyo kampuni wakiona wanakuhitaji wao ndio wanafatilia hayo mambo tatizo linakuja unapotakiwa kuja kutafuta kazi pesa ya matumizi na kulipa pango uwe nayo juzi nimekutana na mmalawi mmoja alikuja na vyeti vyake Kama mwaka umepita wamalawi ndio wakawa wanamsaidia ishu ya pango na yeye akawa anafunga mabox kwenye magari ya usafirishaji akipata muda anaenda internet...kapata kazi nzuri sasa hivi na machungu yote kasahau...
Ila degree iwe ya kweli ukija na fake watakudaka tuu Wazimbabwe wengi wapo jela kwa mtindo huo na wanigeria...
Mkuu vipi hii mambo ya kwerekwere ,iko serious kihivo au ni mara moja moja wanaliamsha af wanatulia ?Ila degree iwe ya kweli ukija na fake watakudaka tuu Wazimbabwe wengi wapo jela kwa mtindo huo na wanigeria...