Tangu enzi za ukoloni wa wareno kina Vasco Da Gama, wakaja waarabu, wakaja wajerumani, waitalia, waingereza hadi baada ya kupata uhuru bado tunaendelea kunyonywa na makontawa kama Marekani.
Wasomali hawajakaa kizembe kwa taarifa zinazotrend kwa sasa huko Marekani kwenye jimbo la Minnesota lenye wasomali zaidi ya elf 80, wamepiga dola bilioni 9 sawa na shilingi za kitanzania Trilioni 22. ni kiasi kikubwa kwetu lakini ni tone kwa bajeti ya huko.
Nje ya hapo kumekuwa na mchezo wa kufungua shule tupu za watoto ambazo serikali hutoa dola milioni 2 (Shilngi bilioni 4.9) kila mwaka
Nachoshangaa kumekuwa na waafrika hasa wa Kenya wamekuwa wakiwacharua sana wasomali kwa tukio hilo, wakisema pesa hizo zimefanya wasomali wajenge maghorofa na kumiliki biashara kubwa sana Kenya, na kweli wasomali kwa sasa huko Kenya hawashikiki, Lakini je ni sawa wanachofanya kuwasagia kunguni wasomali ?
Tit for Tat, Ukiibiwa na wewe usikae kizembe jaribu kuwapapasa
nypost.com

Minn.’s Somali social-services scammers may have stolen $9 billion — nearly Somalia’s entire economy
The enormous new estimate is a nearly nine-fold increase from the swiped $1 billion previously suspected, according to federal prosecutors.