Waafrika/ Ngozi Nyeusi Hatujalaaniwa, Shida Ipo Hapa, Soma Kwa Umakini Mkubwa

Waafrika/ Ngozi Nyeusi Hatujalaaniwa, Shida Ipo Hapa, Soma Kwa Umakini Mkubwa

Wallah tena huu ni uandishi wa mtu mmoja. Jamaa ameanzisha uzi halafu akajifanya anamuita mwenzake achangie huku akitambua fika ni yeye mwenyewe!

Angalia mfanano wa mistari ya sentensi na namna ilivyo rushwa! "Hapana mkuu..."
Yaani unajijibu mwenyewe 😁
Kuna mwamba jukwaa la biashara alikuwa na ID 10 anauza mayai ya Kwale halafu ID zake zinaanza kucomment kuuliza bei na kunegotiate, basi akatokea moderator mkuda akazinganisha ID zote ni aibu iliyoje?

Sasa huyu naye siku zake zinahesabika atapata aibu ataikimbia ID yake.
 
Back
Top Bottom