KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Moja ya kitu kinachoniuma ni kuona huu utahira wa mambo ya ovyo yanayoendelea na ktk hili yanifanya niamini kweli kila mmoja kuna namna yake ya kuona!.
Asili yetu tumeitupa, tunaishi tamaduni za watu weupe na hicho pekee ndio msingi wa wao kuhimiza vitu vyao vya ovyo ktk Jamii zetu!.. kuna vitu vya msingi vya kuiga lkn si vyote.
Hata majina yetu tumeyaficha kwa kutumia majina yao!, haitoshi thamani yetu tumeitupa wenyewe kwa kuiga visivyo asili yetu na bado tusishangae tutaendelea kuletewa vya ovyo mpk tujione makolo!.
Dini zao zimebeba utamaduni wao sisi twajitesa nao wanini..?
Jamii isipofunguka kifikra walahi waafrika tutakuwa watu wa ovyo kuwahi kutokea!.
Nachojua filimbi ya mbiu bado haijachelewa ila wanatuchelewesha ni baadhi yenu wenye vichwa vigumu msiokuwa na fikra pana, wenye mioyo yakutishika, mliofumba bongo zenu msione na wavivu kufikiri hata vitu vidogo vinavyowahusu!.
Nawaandikia hivi mtaendelea kushangaa kwasababu ya upofu wenu na wala sio kwasababu ya ujinga ya hao mnaowaona wajanja, kama wao hawakiogopi walichowaleteeni wanakikanyaga sasa nyinyi kinawatisha nini..?
Joho mlilojivika linatuaibisha na wanafanya hayo sio kwamba hamuoni, mnaona lkn mmekataa kuelewa na kuamua.
Mnaitukanisha jamii yetu, vizazi vijavyo vitalaumu upumbavu wetu ambao kwa wakati huo kwao utakuwa ni mnyororo wa umauti au zimwi liwalao.