Wasukuma hio dini hawaiachi nasikia akijenga nyumba inaweza kua kubwa ila kuna kakibanda kanajengwa kwa nje kale kakibanda ndani katikati kinawekwa chungu, ni dini za jadi ni mila ni desturi ni tamaduniSahihi mkuu watu wanazungumzia dini za mababu ila hawajui kuwa walichokuwa wakikifanya hao mababu ni uchawi
Dini za jadi zinaonekana local sababu hazina kitabu maalum na hazina kitabu kwa hio zinaonekana km uchawi au ushirikina tu unapewa miiko usifanye hivi na usifanye vile fanya hivi fanya vile kunywa maji kwa wingi nenda ukapigwe risasi kinjeketileDini ni Imani ya binadamu kuhusu roho na uumbaji, hujumuisha maadili na miiko ya kufuatwa na jamii inayofuata dini husika Ili kujenga jamii bora. Ipi ni dini bora? Hapa uamuzi hutokana na fikira za mtu anayeamua dini bora ni ipi Kati ya zote zilizopo duniani lengo likiwa ni lile lile, kujiweka sawa kiroho.
Sio kweli huu ni uongo kabisa, mbona kuna watu wanashinda na kulala makanisani na misikitini lkn ni wachawi wa kutupwa na ushahidi upo.Hizo mnazooziita dini za mababu ukizifuatilia kiundani zaidi utakuta ni ushirikina tu, mwisho wa siku lazima uwe mchawi
Hizi dini za Kiafrica ndo za kukakaa kwenye makutano ya barabara mkitambika kisha kutoa kafara za watu?Katika bara la Afrika dini hizo zinaegemea zaidi kwenye matambiko kwa mizimu ya ukoo ili isaidie jamaa zao.
Siku hizi idadi ya wafuasi wa dini hizo inazidi kupungua na kuziachia nafasi dini za kimataifa, hasa Ukristo na Uislamu.
Hata hivyo mabaki ya imani ya asili yanawaandama waliojiunga na dini hizo, hasa kwa namna inayotazamwa nazo kuwa ushirikina.
Dini za jadi ni dini za mababu ambazo zinafuata miiko na maadili halisi ya taifa au kabila fulani.
Wakiujua UKWELI, wakaujua NJIA watapata UZIMA hivyo hawatalala tena! Wataamka na watakuwa wapole kama Mwana wa Mfalme mtawala wa Saudi Arabia.Nasubiria waamke bado wamelala
Sio kweli hizi ni propaganda mlizopewa na hao waliowaletea tamaduni zao na kuwadanganya kwamba ni dini.Hizi dini za Kiafrica ndo za kukakaa kwenye makutano ya barabara mkitambika kisha kutoa kafara za watu?
Upuuzi mtupu
Usiwasingizie, waarabu halisi (mabedui) hawakuwa na dini walikuwa kama wewe (wapagani), walikuwa na miungu 360 waliyoiabudu pale Makka.WaAfrica dini zetu ni Upendo, Ujasiri, Ushirikiano, Amani na Kuridhika.
Uislam na Ukristo ni dini za Warabu/Wazungu na Watumwa.
Kwahio unamtunguliza mungu yupi..? Huyo mungu umemjua kupitia dini/imani ipi..?Mungu yupi?
Daah 😂🤣 jamii forum haichoshi aiseeMimi nimemwaga like halafu nimechukua siti nikasabskraibu nasubiria kuona nani atatupa taulo hapa maana wanakuja hapa watu watatifuana
Kabla ya kuja waarabu i.e:uislam na wazungu i.e: ukristo mababu na mabibi au WAAFRIKA wa zamani walimjua MUNGU kupitia dini/imani ipi?Kwahio unamtunguliza mungu yupi..? Huyo mungu umemjua kupitia dini/imani ipi..?
Dini ya mwarabu au mzungu ni zipi??Tafuta dini yako kwa kujiongeza na kufikiri, kama una kabila basi hukosi dini i:kabilaDini ya muafrika ni ipi?
Unamaanisha mababu na mabibi wa Kiafrika kabla ya kuja ukristo na uislam woote walikuwa ni wachawi?Sahihi mkuu watu wanazungumzia dini za mababu ila hawajui kuwa walichokuwa wakikifanya hao mababu ni uchawi