The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Biashara ya utumwa imeacha makovu Africa na kuacha historia mbaya juu udhalilishaji wa utu wa mwafrika.
Ukifanya tafiti utagundua ya kwamba ni waafrika wenzetu ndio waliofanikisha biashara hii kwa kuwasaidia wazungu na waarabu kupata watu baada ya waafrika kuwauza ndugu zao pia mateka wa vita pia baada ya kupokea silaha toka kwa wanunuzi wa watumwa.
Hakuna mnunuzi wa watumwa aliyeingia field kukamata watumwa KAZI yote ilifanyika na mwafrika iweje sasa tusiwe sehemu ya lawama ya ufanikishaji wa mchakato huu.
Pili kwanini wanakijiji hawakutoa sapoti ya kuwaua hao wanunuzi toka pwani wakienda bara kununua watumwa au kuwakomboa watumwa waliokuwa wakipitishwa kwenye vijiji vyao na wafanyabiashara ilitakiwa wawaue hao maslave masters ili kuwakomboa hao waafrika wenzetu?maana hata vyakula waliuziwa vijijini wakipita na watumwa
Inaingiaje akilini kwamba Mwafrika anakamatwa tu kama mbuzi bila utetezi wowote mbona makabila mengine mfano wamasai, wakurya,wazulu wao hawakuchukuliwa utumwani only wabantu tu na sio makabila hayo ya kinilotic?
Au ndo mambo ya ubinafsi na unafiki wa mwafrika ulianza Karne,kama tulikuwa na Ubuntu ilikuwaje tukaruhusu wenzetu wachukuliwe utumwani kwa msaada wetu?