Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

Wameanza kuja
 
Waumini wengi wa hao mitume, manabii, makuhani na nini sijui hakuna cha ziada wanachofaidika nacho zaidi ya faraja ya muda wanayopewa na hao wajanja kwa kuwapa maneno yenye kuleta matumaini ya kumaliza matatizo yanayowakabili kwa wakati huo.
 
Unaposema walokole wengi ni maskini jiulize pia wanawezaje kutoa sadaka nyingi ambapo humfanya mchungaji wao aishi maisha ya kifahari.

Tafakari
 
Mnaanzaga hivi hivi...mara utafika mahali hata rais na baraza lake utawaona ni wezi tu...ivoivo mpaka baba yako utamuona ni mnyonyaji kwa sababu ana mkwea Mamako kila siku na mama nae apande juu.

Mungu alisema Nabii wa uongo muwajaribuni.......kwa nini waumini wasiwajaribu?? Mpaka nyie watu mseme?....acha uchoyo kila kazi ina faida zake.iwe kubwa au ndogo...kinacho kusumbua wewe ni mafanikio ya watu hao....hamlali miafirika!! Wewe umeshindwa kufika huko sasa unawaonea gere....omba Mungu akupe na wewe au ame kukataa??.......
 
Mtu huna kazi, huna biashara wala wazo la biashara, huna ujuzi, huna elimu, lakini kila siku unashinda kanisani kumsikiliza Mchungaji anayesema kesho utakua milionea na wewe unasema "Baba napokea/Dady I receive". Huu ni utani.
Nabii shillah anawapiga sana kwenye hiki kipande had I huruma wakati yeye anambaiashara yake kibao
 
Ndy umeandika kinyesi gani hapa?? Nawewe unategemewa Nyumbani kwenu kwa huu uji uliokujaa kichwani
 
Ndy umeandika kinyesi gani hapa?? Nawewe unategemewa Nyumbani kwenu kwa huu uji uliokujaa kichwani
kinyesi kinajibiwa?.....kula i km umekipenda jibwa koko weyeee!! Waache wahubiri
Ndo maana hutaenda mbinguni
 
Maovu yote haya yanafanyika halafu mungu mwenye maguvu yote yupo na amelala tu๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
 
Biblia inasema kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa (Mithali 1:7). Tutafute maarifa, tufanye kazi kwa bidii, na tumuabudu Mungu katika roho na kweli. Kwa kufanya hivyo tutapata MAFANIKIO katika mambo yote tuyafanyayo.
Amen!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ