Waafrika tumerogwa, ni kwamba hatuna hata nchi moja inayoweza kuwa mfano katika sura ya dunia kwamba na sisi tunaweza?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Wazungu wana Uingereza, Switzerland, france, n.k. - sina haja ya kuwaelezea sana

Waarabu wana uae na kuwait - Wametumia vema mafuta yao kwa maendeleo ya nchi zao.

Walatini wana uruguay, Chile- sio wenzetu tena hawa, wapo mbali mno.

Wachina wana china, korea, japan - viwanda kibao + Technology.

Wahindi wana India yao - Waachapakazi, Wafanyabiashara + diaspora iliyofanikiwa zaidi

Kwa Africa South Africa kumeendelea lakini ni kwasababu ya wazungu kama kina Elon Musk, waafrika wa asili mambo ni hohe hae,

Nigeria ndio nchi inayoongoza kwa maendeleo ya waafrika halisi lakini bado ipo nyuma sana kwa jicho la kidunia, kuna vita za kidini, kuna vita za kikabila na ukabila wa hali ya juu, magaidi bokoharam, ufisadi uliokithiri, n.k.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tanzania Uongo na Connection.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tanzania Uongo na Connection.
Yaani vijana wa tz wengi fikra, vitendo ama maongezi kwa kiasi kikubwa ni mapenzi, ngono, pombe, shortcuts, mpira,
 
Afrika tuna Tanzania Mkuu mbona huwi mwenye shukrani
Tunaongoza katika nyanja nyingi za maendeleo, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, nina uhakika kuna nchi hata Ulaya kwenyewe zikasome kwa Tanzania kimaendeleo
 
Tz hii ambayo hatuna hata kiwanda cha sindano ?
 
Africa tuna Ethiopia na Tanzania. Hawa wanafanya shughuli zao za maendeleo bila kutegemea Msada wa wazungu...
 
Msululu wa UtambulishoπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
tatizo ao uliowasifia ndo chanzo sisi kuwa hivi yani wametutawala miaka zaidi ya 500 sisi waafrika tukiwa kama mashine zao leo maendeleo ya nchi zao kutokana na mali zetu waafrika mfano saizi machafuko ya Congo ni nani mfadhili..?
 
Sio kweli mkuu,
Afrika tuna roho mbaya na hatupendani.

Ndo maana kuna mifumo ambayo inasababisha fikra Duni kwa jamii,
kwa ajili ya kulinda maslahi ya watu wengine.

Matokeo yake jamii inakuwa maskini,
Jamii inapokuwa maskini,
taifa linakuwa maskini,
Taifa likiwa maskini ndo Afrika inakuwa maskini.
Umaskini unatengenezwa na umetengenezwa na watu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…