Waafrika tumerogwa, ni kwamba hatuna hata nchi moja inayoweza kuwa mfano katika sura ya dunia kwamba na sisi tunaweza?

Waafrika tumerogwa, ni kwamba hatuna hata nchi moja inayoweza kuwa mfano katika sura ya dunia kwamba na sisi tunaweza?

Yupo raisi wa nchi flani kamteua mtoto wake kuwa mkuu wa majeshi.Hii sio mbaya kama ana vigezo ila amezidi sasa hadi marafiki wa mke,mke,ndugu upande wa mke,watoto wake wote kawapa madaraka kwa mtindo huu hatutoboi Africa.
Nimemuhifadhi jina ila kichwa cha habari hicho hapo

Museveni anavyoimarisha familia yake serikalini​

Muktasari:​

  • Rais Yoweri Museveni wa Uganda aliweka rekodi ya marais wa Afrika kwa kumteua mkewe kuwa waziri na sasa amevunja rekodi yake kwa kumteua mwanaye kuwa Mkuu wa Majeshi.
 

Attachments

  • Muhoozi.png
    Muhoozi.png
    516 KB · Views: 2
Africa tuna Tanzania, Tumeingiza timu mbili CAF champion league
 
tatizo ao uliowasifia ndo chanzo sisi kuwa hivi yani wametutawala miaka zaidi ya 500 sisi waafrika tukiwa kama mashine zao leo maendeleo ya nchi zao kutokana na mali zetu waafrika mfano saizi machafuko ya Congo ni nani mfadhili..?
hata wahindi na wachina waliwahi kutawaliwa, tena china alikuwa anaitwa sick man of asia
 
Back
Top Bottom