NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Yupo raisi wa nchi flani kamteua mtoto wake kuwa mkuu wa majeshi.Hii sio mbaya kama ana vigezo ila amezidi sasa hadi marafiki wa mke,mke,ndugu upande wa mke,watoto wake wote kawapa madaraka kwa mtindo huu hatutoboi Africa.
Nimemuhifadhi jina ila kichwa cha habari hicho hapo
Nimemuhifadhi jina ila kichwa cha habari hicho hapo
Museveni anavyoimarisha familia yake serikalini
Muktasari:
- Rais Yoweri Museveni wa Uganda aliweka rekodi ya marais wa Afrika kwa kumteua mkewe kuwa waziri na sasa amevunja rekodi yake kwa kumteua mwanaye kuwa Mkuu wa Majeshi.