incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Ukweli ni kwamba maisha tunayoishi leo ni matokeo ya maandalizi ya Jana, Tulichokiishi Jana ndio kina aksi maisha ya leo.
Ni ukweli kwamba kile tunachokiita laana na Dhambi kubwa kufru na ushetani hakijaibuka from no'where na kuchipua kwa kasi hadi kufikia hatua ya kushangaza, Bali ni matokeo ya shamba ambalo limepandwa miaka mingi sana na kusisitizwa kutunzwa, kumwagiliwa na kupaliliwa.
Kwa imani yangu naamini shamba hili hapa lilipofikia ni robo tu ya matokeo halisi ya palizi tunazofanya, Yaani namaanisha kama ni shamba basi hii ni hatua ndogo ya awali katika ukuaji wa zao.
Ila kwa kuwa sasa kila mtu anaona ni ufahari na ujanja kuendelea kupalilia shamba hili tegemea matokeo yatakayowafurahisha zaidi baadae.
Waafrika wengi tunapenda vitu vyenye matokeo ya masaa 72 hadi mwaka mmoja, ila wenzetu hawaoni hasara kuwekeza wazo litakaloleta matokeo baada ya miaka 1000 mbele, Ndio maana tunaingizwa mikenge kwa kuwa uwezo wetu wa kutafakari Matokeo ya jambo ni sawa na matamanio yetu ya matokeo ya masaa 72, hivyo tukiona kitu hakijaleta matokeo mabaya ndani ya masaa 72, Basi hata baya na la kuogopwa tunaliona ni zuri na kufurahisha.
Ni Juzi tu nilikuwa mtoto, Jana tu nilikuwa kijana, na Sasa nina vigezo vyote vya Kuitwa Mzee na Baba wa familia. Na hapa ninazungumza kama Baba nikiamini kuna wazee wenzangu wapo humu, lakini pia nikiamini kuna vijana ambao mda si mrefu watakuwa wazee kama sisi na Baba wa familia pia.
Adui mkubwa wa Africa na Dunia ni sera ya Usawa wa Kijinsia (GENDER EQUALITY)
Nimekuwa mtumiaji wa Jukwaa la Jamii forum kwa Mda kiasi, Na nilichagua Jamii forum kama jukwaa bora nikiamini ni Jukwaa ambalo watumiaji wake wamepevuka kiakili na maarifa, lakini pia ni sehem ambayo people we dare openly. Nikiamini moja ya changamoto tunazokumbana nazo ni kujuana na historia za maisha ambayo tulishayapitia kwa kiasi kikubwa zinaathiri usikivu na uzingatiaji, Watu wengi wanapenda mada nzuri kama hizi lakini wazipate kwa member wasiowajua personal.
Sasa kwa Mitandao mingine kama facebook ni Mtandao ambao unawakutanisha watu wanaojuana sanasana kuliko wasiojuana imekuwa ile nikipita nikisoma alichoandika mudy machips nafanya kuskip tu (hahahahaaa)
Mada hii nimeichapa zaidi ya miezi sita iliyopita na kujaribu kuichapisha katika Majukwaa ya Jamii forum mbalimbali, kama vile "JAMII INTELIGENCE" na "HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO" ILa imewekewa vikwazo vikubwa sana kila nikiichapisha inaishia pending na hatmae kuondolewa kabisa au kuwekewa zuio la kuangaliwa na watu. Na hapa nimekaa chini Upya na kuihariri na kuondoa baadhi ya vipengere ambavyo kwa mitazamo yao waliamini nataka ku potray ukandamizwaji wa kijinsia, japo sio lengo langu kabisa.
Hii inamaana kwamba Jamii imeoteshwa mbegu ya uoga na kutojiamini, kama nilivyowahi kusema kwamba ili umezeshwe uchafu usiofaa basi puani mwako lazima upunguziwe uwezo wa kunusa, na hata atakaeweza kunusa aonekane kama ni mpotoshaji na mchonganishi au ana pua mbovu.
Nilishawahi kuzungumzia mada flan kuhusu imani za watu na hapa niligundua kwamba jamii inahitaji ukombozi wa kiimani maana wengi wamewekewa mipaka hata ya kujichunguza na kujiuliza wao ni nani? Wakihisi watakufuru na kumkosea mungu. (kwa kuwa sio mada yetu kwa leo tuyaache!)
USAWA WA KIJINSIA (GENDER EQUALITY) kwa wasiolewa maana yake ni kwamba Mwanamke na Mwanamme wafanye shughuli sawa, kusiwepo na tofauti yoyote kati ya mwanamke na Mwanamme Isipokuwa ibaki tofauti ya Kimaumbile tu, (Biological diffence)
Yaani Mtoto wako wa kike umlee sawa na Mtoto wako wa Kiume na Mwananao wa kiume umlee sawia na mtoto wa kike.
Leo hii MKURUNGWA MIMI, nimlee Ivan kwa kufanya shughuli zote sawa na Marryness, Na marryness nimlee sawa na Ivan, samahan kwa kutolea mfano majina ya wanangu ila ni katika kulifafanua hilo.
Swali langu hapa ni_Ule ujasiri anaotakiwa kuwa nao Mwanangu wa kiume, Akijua kuwa yeye ni Simba, yeye ni mshindi, yeye ni kiongozi wa familia, Yeye ni mlezi wa familia anaetakiwa akikuwa amtafte mrembo aishi nae amcontrol ampe furaha, ampambanie na apambane na changamoto za kimaisha, asitetereke, asiogope chochote, Asikimbie changamoto, asiruhusu kushindwa, asipoteze thamani ya uanaume wake kwa galama yoyote ile, Ajue kiongozi hashindwi, hatakiwi kunyoosha mikono na kujisalimisha vitani, apambanie heshima ya uamaume wake hadi mwisho wa tone la damu yake, Asiruhusu kuonewa ajitetee kwa kuwa yeye ni kiongezi, Asimame na kutunza siri nyingi kwa ajili ya usalama wake na familia yake, Awe mvumilivu kwa kila hali, awe na uwezo wa kujimudu na kuzuia hisia binafsi kwa baadhi ya mambo, leo hii nimfundishe kupika, kukuna nazi, kuoga na kupaka mafuta kisha akajiangalie kwenye kioo.
Majukum yake atayajualia wapi? Huu uanaume atautolea wapi?
Ikiwa nitamfundisha Majukum sawa na ya mtoto wa kike, kuwa Yeye ni Mrembo na ni mzuri, anapaswa kuwa mtii, anapaswa kuwa mrembo aoge apendeze, Atunze uzuri wake na thaman yake, anatakiwa kuwa na heshima anapaswa kujitunza, anapaswa kulinda amani ya familia, anapaswa atafte mwanaume sahihi kwa wakati sahihi aolewe, aheshimu familia yake, alinde familia yake, awe kiungo katika maendeleo ya familia, awe mtiifu?
Leo hii nimfundishe mtoto wa kike kushika panga na kwenda kukata nyasi, nimfundishe mtoto wa kike kuwa kiongozi wa familia ili baadae atafte Mwanamke aoe, nimfundishe mtoto wa kike misimamo sawa na ya kiume, Kesho atatambuaje uzuri na upendeleo aliopewa na mungu kama ua na pambo la ndani, kiungo cha familia na mlezi bora wa familia?
Najua wengi hamtanielewa hapa, ila mtanielewa tu. Majukumu ya mtoto wa kike na kiume lazima yatofautiane lazima tukubali majukumu na Wajibu ambao leo umegeuzwa kuwa tusi yaani Wajibu umepewa Jina la karaha na fedheha ili kupoteza maana leo hii tukifuata Usawa tunaita "MFUMO DUME"
Kwa bahati nzuri nimeandika wajibu wa mtoto wa kike na kiume ila ukweli ni kwamba vitu hivyo havitamkwi Bali majukumu na tofauti za kiutendaji katika maisha ndio huleta matokeo ya majukumu niliyoandika hapo.
Mfano, Ukitamka neno Nyumba, neno hilo halitoshi kujenga nyumba bali kinachojenga nyumba ni Vifaa na si lazima uvitaje kwa majina ukishavikusanya na kuviunganisha kiusahihi tayari tunapata nyumba, Hapa namaanisha mtoto wa kike akikuwa katika misingi na majukum yake hapo Automatic hata kama hajaambiwa ataolewa lazima atakuwa anajua wajibu wake Kuwa ataolewa na atamtii Mme wake kwa ustawi wa familia yao na si yeye kuoa mwanamke mwenzie, na wakiume vilevile akikuwa katika misingi yake Automatic atakuwa akijua kipi anafaa akifanye na kipi hapaswi kufanya.
Cha kujifunza hapa ni kwamba kumekuwa na tabia za watoto kulawitiana mashuleni na kusagana hapa cha kujiuliza sio kwanini wamefanya hivi, cha kujiuliza hapa ni kwamba kwanini mmoja afanye na kwanini mwingine afanywe?
Hapa inamaanisha kati ya hawa watoto wawili tayari kuna malezi tofauti kuna mmoja amelelewa katika misingi ya kuambiwa yeye ni mwanaume na kuna mwingine amelelewa katika misingi ya kutotambua yeye ni nani kipi anapaswa afanye na kipi asifanye, hivyo katika ukuaji wake na kujitafta yeye ni nani kwa kuwa hajakuwa katika malezi ya kumtambulisha yeye ni nani ni rahisi sana kama atakutana na mtoto mwingine anaejitambua yeye ni nani akamfanya kitu kibaya.
Lakini pia mtoto ambae amekuzwa katika mfumo Dume si rahisi kurubunika na mtu yoyote na kumfanyia kitendo cha hovyo kwa kuwa atakuwa anajua yeye ni mwanaume, hivyo anapaswa kula kwa jasho na si kupewa bure,
Ewe mzazi Epuka kumfundisha mwanao wa kiume majukum ya kike kupitiliza kwa kuwa mtoto bado akili yake haijakomaa kujua kama unamtengeneza kuwa mtu bora au mtu full package kwa baadae kwa kuwa kwa uelewa wake atakuwa akijua majukum yote, wanayofanya watu tofauti na jinsia yake nae anaweza kuyanya kwa nafasi yake.
Kwa nafasi yangu mimi mwanangu wa kiume nikimkuta anacheza michezo inayokinzana na jinsia yake hapo hapo namwadhibu, nikiamini katika hatua ya ukuaji wa mtoto ndio mda wa kumflame na kumtengeneza mtu unaetaka awe kwa baadae, hivyo ukimuonya kuepuka michezo isiyoendana na Jinsia yake ni rahisi kumtengeneza kujua yeye ni nani. Na kwa wakike vilevile nikimkuta anacheza michezo isiyoendana na Jinsia yake lazima nimuonye ili ajue yeye ni nani.
Tuacheni Uzungu Babu zetu wamekua katika mifumo dume, wakazaa Baba zetu ambao nao wametulea katika mifumo hiyo hiyo, ila leo hii tunaambiwa wanetu tuwalee equaly kwa masrahi yapi?
Neno unyanyasaji wa kijisia, na neno Mfumo dume ni maneno tu ambayo yamewekwa kwa lengo la kubrainwash watu na wajione wanakosea katika kusimamia majukum na usawa.
Simple task Ukifikiria miaka ya nyuma ambayo huu usawa haukuwepo hata visa vya Mariage breakup hazikuwepo kwa sana, Pia wanandoa kuuwana hakukuwepo leo hii tunaoishi kwa equality mbona kila siku tunashuhudia marriage Breakup na wanandoa kuchinjana kuuwana?
Kinacholeta migogoro sio watu ila ni Asili kitu chochote ukikilazimisha kwenda kinyume au tofauti na asili lazima kilete matokeo mabaya.
Kama huamini tembea kwa kupiga hatua kurud nyuma au kwa kufuata upande upande tuone kama unaweza kuwa stable.
Tunaacha asili kwa kupalilia pando la laana uchafu kisha tunarudi kupigia kelele na kulaani matokeo ambayo kila siku tupo darasan kujiandaa nayo.
Ewe Mzazi endelea kumpikilisha mtoto wako wa kiume, endelea kumsugurisha masufuria na kumkunisha nazi Enjoy my friend utafurahishwa tu. Na utavuna unachokihitaji maana unaandaa mpishi bora na mkuna nazi bora kabisa kuna siku atatamani kumpikia mshikaji, alafu utabaki unalaani kwa kuwa umeweka pando na roho ya hovyo ndani yake.
Sikatazi mtoto kufanya majukum ila wape watoto mipaka ya utendaji wa kazi zisizoendana na asili yao, Leo utafurah kumuona Baba rozi ni mpishi wa Cafeteria maarufu unayoifaham wewe anaendesha familia kwa shughuli hiyo ila behind the scen kuna mtu anampakulia vyote kweli, Ndani ya kazi yoyote ipo asili na roho iliyohai, Ndio maana vijana wanaanza kuigiza kuvaa sket na kupaka make'up baada mda wanaingiwa na roho za kike kweli wanavaa na majukum mengine ya kike nje ya camera.
Usidanganywe na mtu kuwa usipomfundisha mwanao majukum ya kike kuna siku atateseka hiyo haipo hakuna anaeweza kufa njaa ikiwa anaona vifaa vya kupikia vipo, Pika yetu wanaume inajulikana kwa jina maarufu "mwagia ndani" yaani unachukua maji, unabandika jikoni kisha vinavyofuata unamwagia yaani mboga, nyanya, kitunguu mwisho chumvi, kisha unafunika. (Prruuf)
Najua ushauri wangu sio sheria ila kama unaweza kuyaishi haya ni uamzi sahihi na ukiamua kuyapuuzia pia ni maamzi sahihi.