niggarz upbaganika
Senior Member
- Apr 22, 2016
- 109
- 91
Bukoba kulikuwa na bunge la wahaya. Wahaya wangekuwa mbali sana!Wakoloni walipokuja Tanzania kwa upande wa kilimanjaro walikuta kuna serikali imara ya kichaga yenye mfumo madhubuti.
Point ni kwamba tulikuwa na viongozi imara bila ukolini tungeweza kuishi kwa sheria na kanuni za kimila ila kimaendeleo mpaka sasa tungekuwa bado tuko kwenye enzi za Stone Age
Tungekuwa dona kantri
Je katika suala la teknolojia kabla na baada ya ukoloni tumefanya uvumbuzi upi?... je uvumbuzi huo unafanana na teknolojia walizo tuletea wao???
Je suala la afya na matibabu kwa ujumla hali ilikuaje kabla na baada ya ujio wao?
Je masuala ya haki za binadamu na uwepo wa imani potofu baina yetu ulikuwaje kabla na baada ya ujio wao?
Nilidhani ungesema walikuta shule ngapi, barabara za lami ngapi, vituo vya afya vingapi , vyuo vikuu vingapi...Wakoloni walipokuja Tanzania kwa upande wa kilimanjaro walikuta kuna serikali imara ya kichaga yenye mfumo madhubuti.
Point ni kwamba tulikuwa na viongozi imara bila ukolini tungeweza kuishi kwa sheria na kanuni za kimila ila kimaendeleo mpaka sasa tungekuwa bado tuko kwenye enzi za Stone Age
Case study nzuri Zanzibar kabla na baada ya kutawaliwa na Tanganyika.
Case study nzuri Zanzibar kabla na baada ya kutawaliwa na Tanganyika.
Nilidhani ungesema walikuta shule ngapi, barabara za lami ngapi, vituo vya afya vingapi , vyuo vikuu vingapi...
Sisi waafrica akili zimechacha, maendeleo siku zote tunayapima kwa jicho la siasa ??..
Eti walikuta mfumo mzuri Wa siasa , sasa huo mfumo ulisaidia nini
Waarabu walitukuta tunavaa hivi
View attachment 1131289
Hii picha ni ilipigwa Mwanza na huyu mama ni mjamzito
Marekani imetawaliwa. Tunafanana uchumi,?Tungekuwa kwenye kundi la mataifa yalioendelea kiuchumi na kiviwanda.
Kwani duniani ni Africa pekee iliyotawaliwa? Mbona wengine wana maendeleo kuliko sisi.Ethopia hakutawaliwa ina wanaishi maisha km uliyoainisha?