Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,911
- 3,016
Habari ya malimao we unauliza habari za ndizi wapi na wapi? Hebu rudia kusoma tenaKwani duniani ni Africa pekee iliyotawaliwa? Mbona wengine wana maendeleo kuliko sisi.
Tungekuwa mbali sana kimaendeleo.
TUNGEKUWA DONOR COUNTRIESWAAFRIKA TUSINGETAWALIWA TUNGEKUWA WAPI HII LEO? (Maoni tu, Sio Malumbano)View attachment 1110923
Waarabu walitukuta tunavaa hivi
View attachment 1131289
Hii picha ni ilipigwa Mwanza na huyu mama ni mjamzito
Mbna wengine kama wapo naked kabisa jamani...
Nilidhani ungesema walikuta shule ngapi, barabara za lami ngapi, vituo vya afya vingapi , vyuo vikuu vingapi...
Sisi waafrica akili zimechacha, maendeleo siku zote tunayapima kwa jicho la siasa ??..
Eti walikuta mfumo mzuri Wa siasa , sasa huo mfumo ulisaidia nini
Marekani imetawaliwa. Tunafanana uchumi,?
Afrika kusini imepata uhuru juz juz lkn ina maendeleo kuliko sisi.
Tatizo sio ukoloni
Nchi kama Egypt mkuu ilishaanza kuwa na wasomi wake kabla ya.hawa kuku wa kizungu kuja kutawala kuna nchi nyingi tyuuu zilishaanza kusimama mkuu kabla ya kuja wazungu.Asikudanganye mtu. Waliokwishafika Ethiopia na Liberia ambazo hazikutawaliwa wanajua tungekuwa wapi. Monrovia city is a very big slum and so is Addis Ababa. Watu wanajisaidia mitaani kama wanyama tu. Mitaa inanuka takamwili. Nchi ambazo zimetawaliwa zina nafuu sana. Na katika zilizotawaliwa, zilizochelea kupata uhuru wake kama Afrika Kusini na Namibia zina nafuu zaidi kuliko zilizowahi kupata km Ghana, Nigeria, Tanzania...
WAAFRIKA TUSINGETAWALIWA TUNGEKUWA WAPI HII LEO? (Maoni tu, Sio Malumbano)
ila Marekani bado inatawaliwa na waliokuwa watalawa waliojiengua kutoka mataifa yako mama kiutawala. Ila wenyeji (red Indians wapi kwenye uhuru bandia)Swali lako zuri lakini lina makosa katika kudhania (assumptions).
a. Marekani na China zote ni nchi zilizowahi kutawaliwa na wengine. Ethiopia na Liberia ni nchi za Kiafrika ambazo hazikutaliwa.
Nchi kama Egypt mkuu ilishaanza kuwa na wasomi wake kabla ya.hawa kuku wa kizungu kuja kutawala kuna nchi nyingi tyuuu zilishaanza kusimama mkuu kabla ya kuja wazungu.
Na kuhusu ktk maswala ya kustaarabika waarabu na persians walishaanza kutu civilize kwa mavaz lugha na kiustaarabu mwingine ila hawa majamaa wakaja tifua kila kitu.
Sis tunashindwa kuendelea now au tunachelewa kwasababu ya mkanganyiko wa diplomacy ya kuitumia ktk uongozi.
Ingekuwa hivyo Liberia na Ethiopia zingekuwa mbali sana kimaendeleo.Tungekuwa kwenye kundi la mataifa yalioendelea kiuchumi na kiviwanda.
Ukiwa msomi hutakiwi ku rely kwenye written source moja. Tafuta sources nyingine uzisome na kuelewa.Ingekuwa hivyo Liberia na Ethiopia zingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Dr Walter Rodney na kitabu chake how Europe Underdeveloped Africa alitudanganya sana.
Kweli?Tungekuwa mbali sana kimaendeleo.