Waafrika tutumie uchawi kwa mambo yenye tija.

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
6,814
Reaction score
10,104
Waafrika tuna uchawi wetu wa asili wa kuzuia mtu asifanikiwe au kumuondoa kabisa duniani au kumfanya msukule wa kukuzalishia hela.

Tatizo letu tunautumia vibaya pale unamfanyia ndg jamaa na rafiki asifanikiwe kwa sababu ya wivu yaani unataka we mwenyewe tu,licha ya hivo hao wanaologa hawana mafanikio,kama wanayo hayadumu kwan wanatenda ushetani na Mungu anatenda.

Wenzetu wachina wazungu wahindi wanao na wanautumia kwa manufaa kwa kuvumbua vitu vinavyorahisha maisha ya binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…