Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nini kinapalekea hawa Waafrika waliohamia Marekani na Ulaya kuwa wazalendo kindakindaki kwa mataifa yao mapya kuliko hata wale waliofika huko kupitia kizazi cha watumwa?
Hawa Waafrika wahamiaji wa hayo mataifa wanaringa nayo sana hadi kufikia kuwadharau Waafrika wenzao waliowaacha Africa!
Wao sasa hivi ndio wamekuwa mstari wa mbele kupinga uhamiaji katika hizo nchi wakati wenyewe pia ni wahamiaji tu!