Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Wapigania uhuru wa waafrika wanaitwa Simba wa Afrika walikuwa matapeli wakubwa wazee wale.
Nasema waafrika tulikurupuka kudai uhuru hatukuwa na mipango wala nia yoyote ile ya kudai uhuru ni kama tuliendeshwa na mihemko tu kwa yale yaliyokuwa yakitokea nje ya Afrika kwa mataifa ya nje yale yaliyokuwa kinyume na ukoloni harakati zake.
Mataifa mengi ya Asia haya kweli unaweza sema yalikuwa na ile hali ya kusema ukoloni sasa basi tunataka kujisimamia na kujiendeleza ila Afrika kulikuwa na utapeli wa hawa wapigania uhuru kwa ajili ya maslahi yao.
Sehemu kubwa ya Afrika mpaka sasa bado haipo tayari kuwa huru bado kuna kugombania tu mikate utapeli wa kisiasa bado unaendelea si vyama tawala wala si vyama vinavyoitwa vya upinzani.
Waafrika bado kabisa kwa sehemu hatujitambui sijui tatizo ni nini ?
Ukiitazama Afrika ilivyo unakiri kabisa hili bara halikuwa tayari kuwa huru kulifanyika utapeli wa Wafrika wao kwa wao.