M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Nalia na mama yako mzazi, kwako mtoto hayakuhusu.Sasa unalia nn?
NB: Adhere with the topic.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nalia na mama yako mzazi, kwako mtoto hayakuhusu.Sasa unalia nn?
Mbona unazidi kulia😅😅😅Nalia na mama yako mzazi, kwako mtoto haikuhusu.
NB: Adhere with the topic.
Unaangalia wapi ? Kwa makaburu apartheid mtu mweusi haruhisiwi kutembea baadhi ya sehemu au Rhodesia under Ian Smith ?Nakubaliana na wewe mtoa mada!
Ukiangalia Zimbabwe ya Muingereza na hii ya sasa ni mbingu na ardhi. Ya sasa imechakaa wananchi wamechoka hawafai
Ukiangalia Afrika Kusini ya Mkabulu na hii ya sasa ni mbingu na ardhi. Ya sasa haifai si kimaendeleo si kiusalama.
Same to sisi, Kenya na hata mataifa mengi.
Alafu angalia Australia, Canada, New Zealand ambazo ziliamua kuwa sehemu ya makoloni yao zIlivyo kimaendeleo
Mtu kama Mama Samia unakuta hyper man ni Mwijaku na Dotto magari.Wapigania uhuru wa waafrika wanaitwa Simba wa Afrika walikuwa matapeli wakubwa wazee wale.
Nasema waafrika tulikurupuka kudai uhuru hatukuwa na mipango wala nia yoyote ile ya kudai uhuru ni kama tuliendeshwa na mihemko tu kwa yale yaliyokuwa yakitokea nje ya Afrika kwa mataifa ya nje yale yaliyokuwa kinyume na ukoloni harakati zake.
Mataifa mengi ya Asia haya kweli unaweza sema yalikuwa na ile hali ya kusema ukoloni sasa basi tunataka kujisimamia na kujiendeleza ila Afrika kulikuwa na utapeli wa hawa wapigania uhuru kwa ajili ya maslahi yao.
Sehemu kubwa ya Afrika mpaka sasa bado haipo tayari kuwa huru bado kuna kugombania tu mikate utapeli wa kisiasa bado unaendelea si vyama tawala wala si vyama vinavyoitwa vya upinzani.
Waafrika bado kabisa kwa sehemu hatujitambui sijui tatizo ni nini ?
Ukiitazama Afrika ilivyo unakiri kabisa hili bara halikuwa tayari kuwa huru kulifanyika utapeli wa Wafrika wao kwa wao.
Kukurupuka kwenyewe ndio hukuNikipewa Tz miaka 5 tu inarank na Korea kusini,kwanza nanyosha raia mwaka mmja wote kama huyu mtoaa madaa wanakula chuma,machawa wote nasafisha
Nabaki nawatu wakazii,kilimo chote nitahakikisha kinatija kwa Raia, mashoga piga shabaa wote, viwanda vitajengwa haswa,raia mwenye ubunifuu atalindwa haswa.Barabara lami kote,marufuku kuezeka nyasi au tope,Wafisadi piga shabaa wotee,wabunge wote mshahala million 1,ununuzi wa V8 marufuku kwa serikali yangu. Nchi inakila kituu halafu tumekalia kuleana leana kipumbavu tu.
Changamoto sanaUhuru bila ukomavu wa kiakili ni kama kujichimbia kaburi, ni sawa na mtoto atake uhuru wa kujiongoza. Tukubali ni mistake ilifanyika kuwafukuza bila kujipanga kwanza ila ajabu ni kuwa hadi leo ni kama bado hatujielewi napata ulakini na uwezo wa mtu mweusi kujiongoza.
Uko sahihi kabisa.Wapigania uhuru wa waafrika wanaitwa Simba wa Afrika walikuwa matapeli wakubwa wazee wale.