Waafrika wanalazimisha mafanikio ya Morocco yawe ya Waafrika wote

Hilo timu lenu likifungwa ntashukuru sana
 
Sema Watanzania ni wajamaa sio Waafrika embu nenda Kenya,Malawi,Zambia kama utasaidiwa hivyo
 
Reactions: Tsh
Mi si mnafiki Waarabu huwa siwaelewi sababu ya ubaguzi wao
 
Una akili fupi kama punje ya mchele,unateseka sana.

Ndio ukweli huo, mnawashobokea sana kwa kung'ang'ania mfanane na waarabu na kuvaa mikanzu na mindevu ila huwa wanawaona takataka

 
Wa Africa hususan wa Tanzania vituko mnooo, hawaitaki Morocco wanakwambia hawatuwakilishi wa Africa, ajabu mtu huyoo huyoo anashangilia Ufaransa, Argentina, Croatia
Muulize hayo mataifa yanakuwakilisha ww mu Africa??
 
Ndio ukweli huo, mnawashobokea sana kwa kung'ang'ania mfanane na waarabu na kuvaa mikanzu na mindevu ila huwa wanawaona takataka

Hao unaowashobokea wewe si ndio wanao promote ushoga kwa nguvu zao zote? hilo ndio linalokupendeza huko? black kila siku wanapigwa shaba US na Police weupe hilo lipo sawa kwako wewe kichwa Panzi? kaa kimya ili kuficha ujinga wako.
 
Mi siwakubali Morocco ukicheki Ile timu haina mwafrika hata mmoja na walisema wazi haiwakilishi waafrika wala bara la afrika wanawakilisha taifa lao na waarabu wenzao
 
Tunatumia nguvu nyingi kubishana vitu rahisi tu Morroco yupo pale kupeperusha bendera CAF against UEFA,COPA AMERICA,CONCAF etc.Hivyo Morroco imebeba bendera ya Africa.Hoja ya Uislam na Uarabu ni kihisia zaidi.Ipi faida ya Morroco kwa Africa? Hapa hakuna kingine zaidi ya kupanda hadhi kwa AFCON kwa kuwa Dunia itaanza kuitazama michuano ya AFRIKA sio kama little tornament kama Klop alivyosema.
 
Lakin nafasi Yao kwenye kombe la dunia iwe wanataka hawataki inatuongezea chansi timu nyingi za afrika kuingia kombe la dunia lakin siwakubali hata kidogo french Ile ndo timu ya kiafrika iliyobaki kombe la dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…