Waafrika wanatia aibu sana

ni ina takiwa ichukuliwe kama mchezaji amepata majeraha au kadi nyekundu na kusababisha kufungiwa kucheza michezo kadhaa...

nazani utakuwa umenielewa
 
Kwani wanasajiliwaga timu nzima hadi wakiondoka timu ipwae?.Hivyo ni visingizio tu wanajaribu kuvileta.
Sio team nzima ila kocha anatengeneza team kukuzunguka au kukutegemea ww kulingana na mfumo halafu unaondoka unaiacha team sasa inakuwa ngumu sana kwa kocha unaona ten hag alishasema hana mipango na Ronaldo ila sio kwamba ni mchezaji mbaya umri umeenda huwezi kutengeneza team kumzunguka yeye.
 
Yaani wewe umeona hilo tu?
Kosa la waafrika silioni sababu wao wanatetea utamaduni wao ambao ni afcon imekuwa tangu miaka na miaka .
Mbona pia hujasema pia alisema na yale mashindano ya Amerika kusini pia huko hatosajili?

utamaduni wao ni kulalamika kubaguliwa kwa kila kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…