Waafrika/watu weusi tuna matatizo gani?

Waafrika/watu weusi tuna matatizo gani?

ASIWAJU

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2022
Posts
1,938
Reaction score
1,632
Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.

SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?

Karibuni kwa maelezo na majibu yenu wadau wote.
 
Sababu kubwa ni kuwa Sisi ni kenge kwenye msafara wa Mamba(wazungu).
Mungu katuumba na low IQ sana hata kama humu tunajiita ma GREAT THINKER.
Kuna uwezekano mkubwa Plan ya Mungu amuumbe binadamu Mzungu sisi tumetokeza tu.
NI sawa umelima mpunga usipopalilia kuna magugu huota yanayofanana na mpunga hayo ndo sisi.
 
Sababu kubwa ni kuwa Sisi ni kenge kwenye msafara wa Mamba(wazungu).
Mungu katuumba na low IQ sana hata kama humu tunajiita ma GREAT THINKER.
Kuna uwezekano mkubwa Plan ya Mungu amuumbe binadamu Mzungu sisi tumetokeza tu.
Kama kuna huyo Mungu katuumba sisi na Low IQ ili tuwe kenge katika msafara wa mamba[ wazungu ] kama ulivyo sema, yeye sasa anapata faida gani sisi kuwa hivi ?
 
Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.

SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?

Karibuni kwa maelezo na majibu yenu wadau wote.
1. Hatupendani
2. Umimi.
3. Uzalendo haupo
4. Undugu nization umetamalaki.
 
Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.

SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?

Karibuni kwa maelezo na majibu yenu wadau wote.
Waafrika wote duniani au waafrika wa afrika!?
 
Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.

SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?

Karibuni kwa maelezo na majibu yenu wadau wote.
Wewe ndio una matatizo, sisi hatuna
 
Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.

SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?

Karibuni kwa maelezo na majibu yenu wadau wote.
Katika huu mjumuisho wapo kina Obama, W.Smith, Lebron, Oprah the likes??
 
Back
Top Bottom