chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Yaani tuache kufuatilia maendeleo ya nchi tujadili mashuduMatatizo kama yapi ? Nasubiri pia na majibu yako kwa swali la thread.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani tuache kufuatilia maendeleo ya nchi tujadili mashuduMatatizo kama yapi ? Nasubiri pia na majibu yako kwa swali la thread.
Yes/no questionMatumizi ya asilimia, makadirio na wastani vimetumika kuuliza hili swali.
Hujaeleza tuko nyuma kwenye mambo gani ili tuondoe hiyo ambiguity tujueWaafrika/watu weusi duniani.
Asante kwa kunipa machaguzi machache katika swali lako,tuanze na i, UchumiHujaeleza tuko nyuma kwenye mambo gani ili tuondoe hiyo ambiguity tujue
kabisa tuchojadili, nyuma kielimu, kiuchumi, kisayansi au ulozi?
Sasa Umeuliza swali ambalo wewe mwenyewe hujui majibu?? Hao niliowataja ni black unajua impact yao kitika jamii?Sijakuelewa mkuu, fafanua kidogo upate kueleweka kiufasaha zaidi.
Sababu kubwa ni kuwa Sisi ni kenge kwenye msafara wa Mamba(wazungu).
Mungu katuumba na low IQ sana hata kama humu tunajiita ma GREAT THINKER.
Kuna uwezekano mkubwa Plan ya Mungu amuumbe binadamu Mzungu sisi tumetokeza tu.
Hajui hata ameuliza kitu gani.Hujaeleza tuko nyuma kwenye mambo gani ili tuondoe hiyo ambiguity tujue
kabisa tuchojadili, nyuma kielimu, kiuchumi, kisayansi au ulozi?
Nita ulizaje swali ambalo tayari nina majibu yake huko kutakuwa ni kusumbua tu watu.Sasa Umeuliza swali ambalo wewe mwenyewe hujui majibu?? Hao niliowataja ni black unajua impact yao kitika jamii?
Umeona mbali aseee, am out.Yaani tuache kufuatilia maendeleo ya nchi tujadili mashudu
1: Tuko kwenye maeneo ambayo nature inatupa nafuu ya vitu vingi. Hivyo, nature ina-control maisha yetu. Nasi kubweteka kwa asilimia kubwa.Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.
SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?
Karibuni kwa maelezo na majibu yenu wadau wote.
Mkuu vizuri, basi naomba uwe tayari kuelewa na sio kubishana.Asante kwa kunipa machaguzi machache katika swali lako,tuanze na i, Uchumi
ii, Elimu
ii, Sayansi
Karibu .
Mkuu una energy. Huyo ana majibu yake tayari hata umueleze vipi sijui kama atakubaliMkuu vizuri, basi naomba uwe tayari kuelewa na sio kubishana.
Naomba tuende kwenye mzizi wa tatizo elimu, uchumi, sayansi mbovu kwa watu weusi
ni matokeo ya mda mrefu sana.
Tuaanzie kwenye kipengele cha IQ.
ni kweli muafrika akipelekwa katika mazingira sawa yaani shule anayosoma mzungu na muafrika
akasoma hapo, muafrika atakuwa wa mwisho!?
Naomba twende kwa mfumo wa swali na jibu
Hii ndio faida ya kuwa na watu wasomi humu jukwaani, umejibu swali kwa kueleweka zaidi. kongole kwako mkuu na karibu tena kwa maelezo na majibu zaidi kama utapenda.1: Tuko kwenye maeneo ambayo nature inatupa nafuu ya vitu vingi. Hivyo, nature ina-control maisha yetu.
2: Pale ambapo nature inatunyima kitu, huwa tunaona ni kutokana na nguvu iliyo juu yetu. Hivyo hatuna harakati mahususi za kutatua matatizo. Ila tunaiachia hiyo nguvu Mungu vs uchawi.
3: Kutokana na 2 hapo juu, sehemu kubwa ya kizazi chetu kimeandaliwa na kukua katika misingi hiyo. Na tumeendelea kuona ni sawa.
4: Kutokana na hayo hapo juu, tunajikuta tunatumia muda mwingi kushughulika na petty issues na kupoteza muda na resources.