love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Nimekuambia mzungu anawaza race yake sisi tunawaza matumbo na familia zetuKwani hao viongozi wa hovyo tulio nao wanatokea wapi ? Na hao viongozi bora walio nao wazungu na waasia wana tokea wapi ?
Karibu.
labda niiweke hivyo ikitokea kiongozi/muafrikai hafanyi hivyo hiyo ni abnormal