Kama kuna huyo Mungu katuumba sisi na Low IQ ili tuwe kenge katika msafara wa mamba[ wazungu ] kama ulivyo sema, yeye sasa anapata faida gani sisi kuwa hivi ?Sababu kubwa ni kuwa Sisi ni kenge kwenye msafara wa Mamba(wazungu).
Mungu katuumba na low IQ sana hata kama humu tunajiita ma GREAT THINKER.
Kuna uwezekano mkubwa Plan ya Mungu amuumbe binadamu Mzungu sisi tumetokeza tu.
1. HatupendaniNingependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.
SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?
Karibuni kwa maelezo na majibu yenu wadau wote.
Waafrika wote duniani au waafrika wa afrika!?Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.
SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?
Karibuni kwa maelezo na majibu yenu wadau wote.
Wewe ndio una matatizo, sisi hatunaNingependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.
SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?
Karibuni kwa maelezo na majibu yenu wadau wote.
🤣🤣🤣🤣🤭Nani mkuu ?
Katika huu mjumuisho wapo kina Obama, W.Smith, Lebron, Oprah the likes??Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.
SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?
Karibuni kwa maelezo na majibu yenu wadau wote.
Hapo hamna kwanini tena ndiyo hivyo kenge mwenzanguSawa mkuu, lakini kwa nini ipo hivyo ?