Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 342
- 626
Samahani kwa kichwa ambacho kina ukakasi kama utakua umeudhika naomba unywe maji ukae pembeni na glasi ya maji baridi upunguze hasira
Bara hili la watu weusi ni kama lina laana vile inshort watu weusi kama wana laana vile achilia mbali bara hili kuna watu wa carribean countries kama cuba,haiti na Jamaica ambao nilitegemea wao kwa position waliokuwelo wanaweza kua na maendeleo lakini waaapi? Afrika kusini wapo ulimwengu wa pili lakini uchumi wao woote unamilikiwa na wazungu je? Sisi ni wajinga, wapumbavu au tuna laana?
Na baya zaidi akijiyokeza kiongozi anayejitoa kwa ajili yetu tunakua warahisi kuingiliwa na wazungu kutuaminisha hafai sisi ndio kwanza tunampakaza matope mwisho wa siku tunawapoteza mashujaa wetu.
Lakini nasema hili ni suala la Muda tu ipo siku tukiishiwa kila kitu akili zitatuingia sisi tunajidekeza tu na misaada yaaan tukifanyishwa kazi kidogo tunalia kama ma lastborn mpaka leo mi najiuliza unawwza fanya mazuri elfu 10000 lakini baya 1 linaharibu mazuri yoote uliowahi kuyafanya.
Gaddafi wananchi wa Libya hawakuona umuhimu wake mapka alipokufa lakin baado kuna wa libya wanaamini hakua kiongozi mzuri jealousy tu za ajabu yaan dunia hii mtu anataka raisi awe kama Mungu atimize kila kitu anachotaka kila mtu we ulisikia waap?
Sisi ni binaadamu hakuna alie mkamilifu hata chembe moja tunajitaahidi tu kupunguza mabaya yetu.
Hii dunia kama itaendelea ku exist miaka billion inayokuja naamini Africa bado tutakua nyuma sana sijui shida ni umasikini au uchawi ila anyway am totally disappointed.
Na kama unajiona uko na negativiy kaa nazo kalia unywe maji mambo ya kujikuta malaika kwenye comments kaa nayo kwenu jinga kabisaa