Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

 
By 2050 population ya Africa itakuwa kati ya zinazo explode sana duniani. Zikiongozwa na India. Angalia jedwali hapa:
Hizo ni propaganda za kujustify miradi ya kuzuia waafrika kuzaliana.
 
Kitu hiki ndo maana serikali yetu hua haipendi kuleta taharuki mapema kwa jamii kuhusu uvumi wa kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola nchini.

Wengi wetu bado hawajui madhara ya Ugonjwa huo kijamii na Kiuchumi kwani kutaathiri Mzunguko wa Biashara, Utalii pia hofu kubwa kwa wananchi hasa ukizingatia jiographia yetu ya nchi.

Natambua serikali inalichukulia jambo hili kwa umakin mkubwa kuliko kelele za wengi wetu humu kana kwamba serikali hailion jambo hili ila wao tu ndo wajuvi wabobezi wa masuala ya Magonjwa ya milipuko.

I real appreciate you @UmmiMwalim hope you gonna do something better than expected by most hooligans inside JF.
 
Wew Wewe ni mzungu? Wazungu wameharibu dunia kwa kiwango cha kutoboa ozone,wamewaaminisha watu kuwa teknolojia ni kitu kizuri,l.Teknolojia zote chanzo cha uharibu wa mazingira,wamarekani wamegoma kusaini mkataba wa kutunza mazingira.Wameanzisha tafiti za nyuklia ambazo ni hatari kwa mazingira.Hata simu na komputa unayotumia imetokana na uharibigu wa mazingira.Waliua tembo kuchukua pembe za ndovu na ngozi za wanyama.Walifyeka misitu na kuanzisha mashamba ya chai,kahawa,tumbaku nk.Waafrika wameiga uharibu wa dunia kutoka kwa wazungu kutokana na ulafi wa pesa.
Ndugu usifikiri watu wote wa afrika hawana macho.Kabla ya kuja wazungu afrika ilikuwa edeni na baada ya wazungu in uharibu tu,magonjwa njaa ukosefu wa maadili,ushoga,rushwa,ubinafsi nk.
 
Kwani maana ya overpopulation ni ni nini?

Kwa mimi navyoelewa unaangalia population compared to resources?

Kwa mtazamo huu it's right to say we have overpopulation.
 
Kwani maana ya overpopulation ni ni nini?

Kwa mimi navyoelewa unaangalia population compared to resources?

Kwa mtazamo huu it's right to say we have overpopulation.
Kuna bara linaizidi Africa kwa resources?
 
Chanjo ya Corona ndio inakuja sasa, na bill gates ndio wakala wao mkuu anaechanhanya hizi chanjo kwa ajili ya majaribio kwa WaAfrika kwa kutumia mgongo wa sindano za uzazi wa mpango na chanjo zingine kwa kificho wanazopeea watoto wetu, hizi chanjo za watoto wetu tunazoletewa tuwe nazo makini kuanzia sasa.
Chanjo ya Corona kufanyikia majaribio Afrika - JamiiForums
 
Mimi mtoa mada naona umeandika upupu mchnganyiko na ugoro, na ushuzi wa mtu mwenye kilo 200. Matokeo yake ni bomu.
Hawa watu wanaweza kuwa washenzi lakini nasi ni washenzi zaidi. Maana hata utumwa tulishirikiana nao kuwauza waafrika wenzetu.
 
Tuendelee kuwa makini na mabeberu kipindi hiki ambacho hadi mapapai yanasingiziwa Corona, big up JPM!
 
Mimi mtoa mada naona umeandika upupu mchnganyiko na ugoro, na ushuzi wa mtu mwenye kilo 200. Matokeo yake ni bomu.
Hawa watu wanaweza kuwa washenzi lakini nasi ni washenzi zaidi. Maana hata utumwa tulishirikiana nao kuwauza waafrika wenzetu.
Sasa upupu nilioandika ni upi hasa, toa hoja
 
Waafrika buana...mtu anasema tena macho kodooooo...."FYEKENI MAPORI MLIME, MBONA MAPORI NI ZAIDI YA 70%" akati huyohuyo anaPREACH kutwa nzima kwamba UKAME UMEZIDI... Sisi tumerogwa na mchawi wetu kafa... mzungu hawazii miaka BUKU IJAYO yeye anawazia THE FUTURE OF OUR MOTHER EARTH bila hata UBAGUZI sema hisia za ubaguzi mnazileta nyie tu... Et oo MUNGU KASEMA TUZALIANE TUIJAZE DUNIA[basi asingewaumbia na KIFO ndo mngejazana ]...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…