Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

 
 
0B0ACBE0-A4C6-48EE-A80C-072499983345.jpeg

Hutaona Egypty wala Tunisia hapo 😂😂
 
Juhudu kubwa zimekuwa zikifanywa na mataifa ya magharibi kuhakikisha idadi ya waAfrika weusi inabaki kuwa minority na hivyo oppressed zaidi duniani. Hili limefanyika kwa kusambaza magonjwa ya kuua watu wengi kwa mpigo kama 'Ebola', 'ARV na Ukimwi' , Tuskegee syphilis experiment - Wikipedia , 'Uzazi wa mpango' ambao huwa unafadhiliwa sana na wamarekani kwa kuanzisha mashirika yanayogonga hodi nyumba hadi nyumba na kuwanywesha vidonge akina mama na akina dada kwa kuwalaghai, inafikia hatua wale wadada wanaozunguka hulipwa bonus pale wanapofanikiwa kuwanywesha vidonge vya uzazi akina mama wengi, kuna mmoja alipewa zawadi ya IST baada ya kufanikwa kutembelea nyunba 2,000 na kufanikiwa kuwashawishi akina mama wengi mno kufunga vizazi.

Sasa sielewi haya mashirika yanaruhusiwa vipi na mamlaka zetu kuja huku kwetu Afrika eti kuendesha kampeni za kufunga vizazi kwa wanaume na wanawake, tena wanatumia matrilioni kufanikisha lengo lao.

Kule South Africa kuna afisa wa kikaburu enzi za apartheid alikiri hapa majuzi kwamba walifanya juhudi kubwa kuhakikisha watu weupe wanakuwa wengi south Africa kuliko weusi lakini walishindwa kutokana na watu weusi kupenda sana ngono, hivyo wakaamua kusambaza Ukimwi kwa makusudi ili watu waache kufanya ngono bila condom na hivyo kupata mimba kwa wingi, pia walitumia chanjo feki zenye kemikali za kuua viungo vya uzazi kwa wanaume na wanawake ili wasiweze kushika mimba, lakini bado haikutosha, wasauzi weusi waliendelea kufyatua tu kwa spidi, hadi ilipofika 1994 wakasalimu amri kwa dushe la kiafrika.
Naomba tusikubali kumalizwa kizembe , tufyatue kwa kasi, waAfrika weusi tupo wachache sana hapa duniani, ni less than 15% ya population ya dunia, tumedanganywa kwa tuna overpopulation lakini hakuna kitu kama hicho, ni hila za shetani mweupe!

Kule Australia walianza kama utani hivi hivi, kulikuwa na watu weusi wazawa walikuwa wanitwa Aborigines, ambao walikuwa wameishi huko Australia kwa malaki na malaki ya miaka, lakini ndani ya miaka 150 tu waingereza waliendesha hila kama hizi za kuwaangamiza ili waweze kuingiza kizazi cha wazungu kule Australia, basi walikuwa wanalipa dollar 5 kwa kila kichwa cha Aborigine utakacho kipeleka ofisi ya exterminator, basi waliuawa na kumalizwa hadi leo hawapo kabisa, same case iliwatokea Red Indians huko USA, walianza kama utani hawa wazungu, mwishowe Red indians wamebaki historia, Waafrika tusikubali kumalizwa kama Aborigines na Red Indians, tena yaan sisi tuna bahati tu kwa sababu tunapenda sana ngono, ila tungekuwa wavivu kama WaJapan leo hii tungeshabaki historia..!!!

Kule Rwanda mbelgiji alipandikiza chuki ya kikabila na kuchochea mauaji ya kimbari, kila mahali wanapandikiza na chuki za kidini na kuleta mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na kutuacha tuna malizana kwenye civil wars za kijinga kabisa...!!! Tusiingie kwenye hii mitego.

===============================
Update: 07/07/2019
Rais Magufuli aniunga mkono leo wakati akimpokea Uhuru Kenyatta. Asema haya
"

Nchi zenye watu ndio zenye maendeleo makubwa. China na India zina watu wengi sana. Sisi Tanzania tupo Milioni 55 na kuzaliana sio shida. Watu wakiwa wengi uchumi unakua, bora kuwa na watu wengi wanaofanya kazi. Ndio maana nchi za Ulaya zinaungana"
===============================
===============================
=============================
Update: 06/09/2019

===============================
================================
Update: 22/09/2019
===============================
Update: 05/04/2020
Chanjo ya Corona
Chanjo ya Corona kufanyikia majaribio Afrika - JamiiForums
Hii chanjo ya Corona haitaletwa waziwazi maana wanajua tuneshawashtukia, hivyo wanaweza wakaileta kwa mifumo ya sindano za uzazi pamoja na chanjo zingine tulizozizoea, tuwe nao makini sana

==============================
UPDATE: 05/05/2020
Video: Sasa nazidi kuielewa kauli ya Rais “endeleeni kufyatua kwa kasi”, kama bado unaamini misaada toka kwa wazungu ni kwa sababu ya upendo - JamiiForums

===============================


===============================
Update: 14/01/2021

===============================
Update: 28/01/2021


View attachment 1688205

akili za kisukuma hizi., wewe unajua overpopulation lazma watu wabanane kama mtaa wa Kongo kariakoo?
 
 
Okay jibu kwanza haya maswali.

1. Watapata hasara gani Waafrika tukiwa wengi?

2. Watapata faida gani tukiwa wachache?

3. Kwanini Waafrika na sio Waasia walio tishio kiuchumi?
1.yani unajisahau kuwa bajeti ya nchi nyingi africa bado zinafadhiliwa na mataifa tajiri ya nje sio??
 
 
Tumia walau hata 1% ya uwezo wako kufikiri tu, wazungu wangetaka kuwamaliza ingekuwa simple sana na wasingetumia hizo njia ndeefu za kuwahimiza mtumie uzazi wa mpango

Mnaagiza, nguo, dawa, vinywaji kama cocacola, sijui maji, juice, kutoka kwa wazungu, mkikumbwa na janga wazungu ndio wanawapa dawa na vyakula, sasa wazungu wangeamua kuweka kemikali zinazoua taratibu na au kuondoa uwezo wa kuzaa wasingeweza?

Vifaa vya umeme, ujenzi, magari, mafuta, vifaa vya jikoni n.k wangeamua kuviwekea hata kemikali zinazoua taratibu au kuharibu vizazi wasingeweza?

Hitler aliua wayahudi milioni 6 miaka ya 1940s, kwa kutumia sumu, silaha na njaa hivi wazungu wangetaka kuuwa Waafrika kipindi kile wanawatawala wasingeweza?


Mpo overpopulated kwa sababu hamuwezi kujilisha, mnaharibu vyanzo vya maji ,misitu, masalia ya samaki, hamuwezi kulima kilimo chenye tija, kila mwaka ikitokea ukame kidogo tu mnakufa kama kumbikumbi sababu mnategemea mvua hadi karne hii..! Kenya hapo mvua imekata kunyesha kidogo tu watu wanakufa tayari, likitokea janga kidogo mpaka wazungu waje wawasaidie

mfano nisaada ambayo mnapewa na wazungu kwenye kila janga kimbunga hapo msumbiji, malawi na zimbabwe, janga la ebola hapo DRC, na Afrika magharibi, Malaria mnapewa misaada ya dawa, UKIMWI ndio nyie mnaongoza mnapewa misaada ya ARV na Condom, Miji yenu hamuwezi kuipangilia, Hamna mifumo mizuri ya maji taka na maji safi, mpaka mje muwekewe na wazungu au wachina, milipuko ya kipindupindu haiishi

Wazungu unawaita mashetani ila kama sio hao wazungu pengine Ukimwi, njaa, ebola, na malaria zingekwishawamaliza nyie WATU WEUSI


Vijana wenu wanajitoa mhanaga ili tu wafike Ulaya au Uarabuni kufanya kazi za ndani

Yaani Waafrika hamuwezi kujiendesha na kujisimamia wenyewe kwa mpangilio mzuri mkiwa wachache kiasi hiki, mkizaliana na kujilimbikiza si ndio itakuwa balaa kabisa?

Mnapikia mkaa manakata miti yenu kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba ndani ya miaka 50 ijayo mnaweza mkawa mmeimaliza, na vyanzo vya maji kukauka, hamuwaonei huruma hao watoto mtakao wazaa watakavyoteseka? Au unafikiri watazamia Ulaya na watapokelewa?

hamuwezi kutengeneza bidhaa zozozte zile, viwanda vya maana kwenye nchi zenu vinaendeshwa na na wahindi au waarabu vingine vyote mnaotoa China ama Ulaya

Inafaa mzaliane kwa uangalifu mpaye watoto mtakaoweza kuwapa huduma bora za afya, chakula, malezi na elimu bora,
Pengine wakiwa na elimu bora wataweza kujimudu zaidi kuliko kizazi cha sasa
Kiongozi chukuwa pepsi baridi hapo ntalipa umeongea ukweli mchungu
 
Kiongozi chukuwa pepsi baridi hapo ntalipa umeongea ukweli mchungu
Kuna haja ya kupima ubongo wa watu kama nyinyi mnaoshindwa kutofautisha kati ya ‘extermination’ na ‘population control’
 
 
Overpopulation kwako ina maana gani?
Kwangu? Isn’t it universal? ; na unazungumzia overpopulation Africa, Tanzania, Dar es salaam, Temeke, mbagala au uwanja wa Taifa, na wakati gani? Asubuhi, mchana, jioni au usiku?
 
Nimekuuliza kwako overpopulation NI nini? Sijakuuliza SIO nini.
Kwangu? Isn’t it universal? ; na unazungumzia overpopulation Africa, Tanzania, Dar es salaam, Temeke, mbagala au uwanja wa Taifa, na wakati gani? Asubuhi, mchana, jioni au usiku?
 
Back
Top Bottom