Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

akili za kisukuma hizi., wewe unajua overpopulation lazma watu wabanane kama mtaa wa Kongo kariakoo?
 
Okay jibu kwanza haya maswali.

1. Watapata hasara gani Waafrika tukiwa wengi?

2. Watapata faida gani tukiwa wachache?

3. Kwanini Waafrika na sio Waasia walio tishio kiuchumi?
1.yani unajisahau kuwa bajeti ya nchi nyingi africa bado zinafadhiliwa na mataifa tajiri ya nje sio??
 
Kiongozi chukuwa pepsi baridi hapo ntalipa umeongea ukweli mchungu
 
Kiongozi chukuwa pepsi baridi hapo ntalipa umeongea ukweli mchungu
Kuna haja ya kupima ubongo wa watu kama nyinyi mnaoshindwa kutofautisha kati ya ‘extermination’ na ‘population control’
 
Overpopulation kwako ina maana gani?
Kwangu? Isn’t it universal? ; na unazungumzia overpopulation Africa, Tanzania, Dar es salaam, Temeke, mbagala au uwanja wa Taifa, na wakati gani? Asubuhi, mchana, jioni au usiku?
 
Nimekuuliza kwako overpopulation NI nini? Sijakuuliza SIO nini.
Kwangu? Isn’t it universal? ; na unazungumzia overpopulation Africa, Tanzania, Dar es salaam, Temeke, mbagala au uwanja wa Taifa, na wakati gani? Asubuhi, mchana, jioni au usiku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…