Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

1.) Alikuza wote 12.

2.) Sababu zipo nyingi za kuzaa mtoto mmoja, moja wapo ni kukosa uwezo wa kiafya.

3.)Kweli lilikuwepo, lakini kwa sasa ni kubwa zaidi, hizo ni takwimu, sio maneno yangu.

4.) Kwetu wapi, nchini kwangu au?

5.) Kutofanya mazoezi ni moja ya sababu, lakini sababu kuu inahitaji utafiti. Kwani vichwa huwa mnafugiaga nywele tu?
 
Na Chanjo ya Corona ndio hiyo inaletwa kwa lazima, kuna ushahidi gani kwamba chanjo itakayoletwa Afrika ni sawasawa na zile zinazogombaniwa na kusambazwa ulaya na Marekeni? Hizi Chanjo za Covax zina nini ndani yake hadi zigawiwe bure? Ni suala la kuwa makini zaidi..
 
Na Chanjo ya Corona ndio hii, kuna ushahidi gani kwamba chanjo itakayoletwa Afrika ni sawasawa na zile zinazogombaniwa na kusambazwa ulaya na Marekeni? Hizi Chanjo za Covax zina nini ndani yake hadi zigawiwe bure? Ni suala la kuwa makini zaidi..
Una matatizo ya akili wewe siyo bure.

Sasa kama huna imani na wazungu ni kitu gani kinwazuia kwenda kununua chanjo ya wachina ?

Au wachina na wenyewe wanataka kuua watu weusi 🤣
 
Leta uthibitisho

Lete hizo takwimu

Inahitaji utafiti upi wakati tayari una conclusion yako mfukoni ?
Kuna haja ya kukujibu kweli? Mfano unataka nikuletee udhibitisho kwamba afya mbovu inaweza ikasababisha ukashindwa kuendelea kuzaa zaidi ya mtoto mmoja

Hizo takwimu Zipo wizara ya afya.

Unajua tofauti ya Hypothslesis na Conclusion? Nasisitiza, utafiti ufanykike!

Una matatizo ya akili wewe siyo bure.

Sasa kama huna imani na wazungu ni kitu gani kinwazuia kwenda kununua chanjo ya wachina ?

Au wachina na wenyewe wanataka kuua watu weusi 🤣
Nani kasema tunataka chanjo?
 
Na Chanjo ya Corona ndio hii, kuna ushahidi gani kwamba chanjo itakayoletwa Afrika ni sawasawa na zile zinazogombaniwa na kusambazwa ulaya na Marekeni? Hizi Chanjo za Covax zina nini ndani yake hadi zigawiwe bure? Ni suala la kuwa makini zaidi..
Nani kasema tunataka chanjo?
Illusioned creature. Psychiatric case.

Seek for psychological help.
 
Sasa overpupolation huwa inatokeaje? Mnaweza kuwa na ardhi kubwa na mkawa mko overpopulated, inategemea na mnavyoitumia. Kwa mfano, mji wa Dar es salaam uko overpopulated, unadhani ni kwa nini? Na usitukane tena!
Dar iko overpopulated watu wengi wamebanana kwenye eneo dogo
 
Update: 28/07/2021
Your browser is not able to display this video.
 
======================================
Update: 17/08/2021

Waafrika wenyewe wanasemaje 🤣🤣 na hili licorona limekuja kupunguza idadi ifike asilimia 10 mwisho wa siku wakwishe kabisa🤣
 
Waafrika wenyewe wanasemaje 🤣🤣 na hili licorona limekuja kupunguza idadi ifike asilimia 10 mwisho wa siku wakwishe kabisa🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…