Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

I think unapoint nzito hapo, thamani ya Almasi , dhahabu nk. ni watu ndio waneipa thamani, ila yenyewe kama yenyewe inaweza isiwe na msaada wowote kwa mtu yeyote. Ila pia kuna tesources zingine usefull nyingi tu ndani ya Africa, including waAfrica wenyewe, kama ulivyosema.
 
Hawatuwezi hawa..wanahangaika Kama panya tu
Lakini resource kubwa ni waafrica wenyewe, sio dhahabu wala nn, dhahabu wameipa thamani wenyewe, kwa hiyo msikariri kua dhahabu na vingine ndo resource. Ila muafrika ni resource kubwa genetically tulivoumbwa, tunaubunifu na uwezo wa kufanya mengi, na wazungu wanataka watu control kwenye mambo yao. Tusingekua ni reaource wala wasingehangaika na ss. Maana kama ni ardhi wanayo, kama ni hali ya hewa nzuri, ulaya kuna hali ya hewa nzuri kuliko huku, kama ni maziwa, bahari na mito, vyote wanavyo
 
 
Corona chalii

Your browser is not able to display this video.
 
 
Huelewei maana ya overpopulation
 
 
Uko smart sana brother! African ni disaster!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…