Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Lakini resource kubwa ni waafrica wenyewe, sio dhahabu wala nn, dhahabu wameipa thamani wenyewe, kwa hiyo msikariri kua dhahabu na vingine ndo resource. Ila muafrika ni resource kubwa genetically tulivoumbwa, tunaubunifu na uwezo wa kufanya mengi, na wazungu wanataka watu control kwenye mambo yao. Tusingekua ni reaource wala wasingehangaika na ss. Maana kama ni ardhi wanayo, kama ni hali ya hewa nzuri, ulaya kuna hali ya hewa nzuri kuliko huku, kama ni maziwa, bahari na mito, vyote wanavyo
I think unapoint nzito hapo, thamani ya Almasi , dhahabu nk. ni watu ndio waneipa thamani, ila yenyewe kama yenyewe inaweza isiwe na msaada wowote kwa mtu yeyote. Ila pia kuna tesources zingine usefull nyingi tu ndani ya Africa, including waAfrica wenyewe, kama ulivyosema.
 
Hawatuwezi hawa..wanahangaika Kama panya tu
Lakini resource kubwa ni waafrica wenyewe, sio dhahabu wala nn, dhahabu wameipa thamani wenyewe, kwa hiyo msikariri kua dhahabu na vingine ndo resource. Ila muafrika ni resource kubwa genetically tulivoumbwa, tunaubunifu na uwezo wa kufanya mengi, na wazungu wanataka watu control kwenye mambo yao. Tusingekua ni reaource wala wasingehangaika na ss. Maana kama ni ardhi wanayo, kama ni hali ya hewa nzuri, ulaya kuna hali ya hewa nzuri kuliko huku, kama ni maziwa, bahari na mito, vyote wanavyo
 
 
Corona chalii

 
 
 
Tumia walau hata 1% ya uwezo wako kufikiri tu, wazungu wangetaka kuwamaliza ingekuwa simple sana na wasingetumia hizo njia ndeefu za kuwahimiza mtumie uzazi wa mpango

Mnaagiza, nguo, dawa, vinywaji kama cocacola, sijui maji, juice, kutoka kwa wazungu, mkikumbwa na janga wazungu ndio wanawapa dawa na vyakula, sasa wazungu wangeamua kuweka kemikali zinazoua taratibu na au kuondoa uwezo wa kuzaa wasingeweza?

Vifaa vya umeme, ujenzi, magari, mafuta, vifaa vya jikoni n.k wangeamua kuviwekea hata kemikali zinazoua taratibu au kuharibu vizazi wasingeweza?

Hitler aliua wayahudi milioni 6 miaka ya 1940s, kwa kutumia sumu, silaha na njaa hivi wazungu wangetaka kuuwa Waafrika kipindi kile wanawatawala wasingeweza?


Mpo overpopulated kwa sababu hamuwezi kujilisha, mnaharibu vyanzo vya maji ,misitu, masalia ya samaki, hamuwezi kulima kilimo chenye tija, kila mwaka ikitokea ukame kidogo tu mnakufa kama kumbikumbi sababu mnategemea mvua hadi karne hii..! Kenya hapo mvua imekata kunyesha kidogo tu watu wanakufa tayari, likitokea janga kidogo mpaka wazungu waje wawasaidie

mfano nisaada ambayo mnapewa na wazungu kwenye kila janga kimbunga hapo msumbiji, malawi na zimbabwe, janga la ebola hapo DRC, na Afrika magharibi, Malaria mnapewa misaada ya dawa, UKIMWI ndio nyie mnaongoza mnapewa misaada ya ARV na Condom, Miji yenu hamuwezi kuipangilia, Hamna mifumo mizuri ya maji taka na maji safi, mpaka mje muwekewe na wazungu au wachina, milipuko ya kipindupindu haiishi

Wazungu unawaita mashetani ila kama sio hao wazungu pengine Ukimwi, njaa, ebola, na malaria zingekwishawamaliza nyie WATU WEUSI


Vijana wenu wanajitoa mhanaga ili tu wafike Ulaya au Uarabuni kufanya kazi za ndani

Yaani Waafrika hamuwezi kujiendesha na kujisimamia wenyewe kwa mpangilio mzuri mkiwa wachache kiasi hiki, mkizaliana na kujilimbikiza si ndio itakuwa balaa kabisa?

Mnapikia mkaa manakata miti yenu kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba ndani ya miaka 50 ijayo mnaweza mkawa mmeimaliza, na vyanzo vya maji kukauka, hamuwaonei huruma hao watoto mtakao wazaa watakavyoteseka? Au unafikiri watazamia Ulaya na watapokelewa?

hamuwezi kutengeneza bidhaa zozozte zile, viwanda vya maana kwenye nchi zenu vinaendeshwa na na wahindi au waarabu vingine vyote mnaotoa China ama Ulaya

Inafaa mzaliane kwa uangalifu mpaye watoto mtakaoweza kuwapa huduma bora za afya, chakula, malezi na elimu bora,
Pengine wakiwa na elimu bora wataweza kujimudu zaidi kuliko kizazi cha sasa
Uko smart sana brother! African ni disaster!
 
 
Back
Top Bottom